Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu

Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu

Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.

Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza nafasi za kazi kwa watendaji watakaosimamia Uchaguzi​



kazi hizo
 
We ni mjinga unafata mkumbo, mi ni dume rijal, deal with it, kid👌👌
Mtoto wa kiume unatumia hii emoji(👌)ni dhahiri kwamba

wewe, mtungi wako wa oryx umeisha, gesi Yani kifupi, bunyero limetoboka🥶
 
Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.

Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
JF😔
 
Huwa nakuona kwenye Page ya Chama letu sasa kwa huyu Muuza Donati unefata nini Mkuu


Huyu kijana mshenzi sana basi tu
Hahahaaa! Nilikuwa nazurura kidogo kwenye huu mji wetu wa Jf Mkuu.

😂😂 kwa kweeli.
 
Back
Top Bottom