GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Asee hiv mnyeti yupo? Kanyamazaaaaa hadi nimemsahauKuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.
Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.
Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.
Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
Hebu nambie makosa ya Bwana Albert Chalamila Kwanza.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Sasa nimejua Chalamila anatumia nickname gani...
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Angalau umeleta vitu tangible,lakini kuhusu kuwaroa wavamizi kwenye mbuga ni halali sema Kama watendaji waliua watu hiyo ni tuhuma yenye mashiko na wahusika Ni hao waliotenda mauaji na si Chalamila unless waseme Chalamila aliwaamuru wauwe.Chalamila aliendesha operation haramu mbuga ya ruaha na kuwapora maelfu ya watu ng’ombe zao bila huruma , chalamila alibariki maafisa wanyama pori wwawaue watu kwenye bonde lile bila huruma , yako mengi
Mimi siyo Chalamila na sijawahi kumuona uso kwa uso .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
waizi wa mtaani wanatandikwa Hadi wanasema ukweli je kwa watu Kama kina Sabaya wanabinywa kweli?Magereza kuna mahala walitembeza kichapo kiukweli ffu wakasome zaidi jamaa wanapiga sijawahi kuona halafu mtaani tunawachukulia poa, lakini special force yao ni hatari hawa jamaa
Aalikuwa hakosi ibada ya asubuhi siku za kazi hata siku moja pale cathederal ya mbeya kama hajasafiri. Pia alikuwa mchangiaji mzuri kanisani zaidi ya MTEUZI wake.Mimi siyo Chalamila na sijawahi kumuona uso kwa uso .
Watwambie makosa yake KwanzaAalikuwa hakosi ibada ya asubuhi siku za kazi hata siku moja pale cathederal ya mbeya kama hajasafiri. Pia alikuwa mchangiaji mzuri kanisani zaidi ya MTEUZI wake.
Hukumu hutolewa kwa mujibu wa sheria siyo kwa mawazo ya watu mkuuKiukweli yote Tisa Ila kumi alimwe Mvua sio chini ya 20 hivi wanaoweza kujifunza vizuri sana
Presumption of innocence must prevail mkuu. Ni takwa la kikatibawaizi wa mtaani wanatandikwa Hadi wanasema ukweli je kwa watu Kama kina Sabaya wanabinywa kweli?
Hakuna sehemu yoyote duniani ambako mhalifu anahukumiwa kuliwa jicho au macho.Huyu mutu hata akiliwa jicho sawa tu.
Ndio kwanza sisi tutawapongeza hao wala jicho kwa ndafu.