OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kuna jamaa angu alikuwa anakula mke wa magereza. nikamuonya wale watu ni hatari kuliko JWMagereza kuna mahala walitembeza kichapo kiukweli ffu wakasome zaidi jamaa wanapiga sijawahi kuona halafu mtaani tunawachukulia poa, lakini special force yao ni hatari hawa jamaa