Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

Au unaweza kuta nyapara amempa salala za kutosha za mgongo na mabanzi ya usoni baada ya kumnyima morning glory ya ndogo
 
Kosa la Sabaya ni kumnyoosha bwana Mwenyekiti.
 
Hakuna kitu Kama tuwazavyo Wana jamii sabaya sio mtungwa bali ni mtuhumiwa bado aijawa tayali amethibitika so izo adhabu ipewe za nini
 
Bashiru amekosea nini?
 
Magereza kuna mahala walitembeza kichapo kiukweli ffu wakasome zaidi jamaa wanapiga sijawahi kuona halafu mtaani tunawachukulia poa, lakini special force yao ni hatari hawa jamaa
Hio watakuwa walilegeza kiburi cha Sabaya ***** hadi anaomba aongezewe karanga😅😅😅
 
Ha ha ha!
 
Kule kuna kitengo kinaitwa KM hao jamaa wanabalaa
Fikiria mtu anafundishwa kumdhibiti komando aliyehasi
 
Done!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We genta hueleweki wewe!!ulikua unamsifij jpm kua ni kiongozi Bora leo una wananga vijana wake????Aiseh! Ni vigum kumjua shetani wa kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…