Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

Mungu ana njia zake za kufunua ukweli wake. Leo ukweli umejulikana kutoka kinywani mwa mpenda sifa mwenyewe. Hivi sijui Mkapa alivyokuwa hai alikuwa anajisikiaje aliposikia hizo propaganda na kujikweza?
Kuna mtu nilimsikia akisema awamu zote zilizopita hazikufanya kitu. Na watetezi wake wanajinadi mambo anayoyafanya sasa hayajawahi fanywa hapo kabla.

Vituko show.
 

katika achievement, flyover nayo ni achievement ya maana?
Acheni kuokoteza okoteza mafanikio
Ongeleeni vitu vikubwa vikubwa
 
Kwa taarifa yao, siku Kikwete akiondoka, watakaokuwepo watasikia kuwa fly-over ni mpango wa Kikwete na wala siyo Magufuli.
katika achievement, flyover nayo ni achievement ya maana?
Acheni kuokoteza okoteza mafanikio
Ongeleeni vitu vikubwa vikubwa
 
Mkuu hiyo fly over ya ubungo ,Mfugale bridge na SGR pamoja na barabara ya njia sita Ubungo to Chalinze yote ni mipango ya Kikwete.Magufuli alichofanya kwenye hayo Mambo either ni kubadirisha design au kupeperusha kabisa hiyo Mambo.Hilo la bwawa ameanzisha tu Ila hana uwezo wa kulikamilisha hata apewe 30 years.Kwa ufupi mazuri ya Magufuli ni machache au hakuna kabisa ukilinganisha na mabaya yake.Kwenye barabara huwa mnaishia kusema nyingi tu Ila huwezi kutaja hata barabara moja
 
SGR - bado kazi mbichi
Stiegler's Gorge - asubuhi
Viwanda - vipya viko wapi?
Uchumi wa kati - JK & Mkapa ndiyo wamechangia pakubwa
Nidhamu kazini - hii ni sawa ni kusifia ATM card yako mwenyewe!
Ndio akili za MATAGA kila kitu wao wanasifia wakati awamu ya 5 hakuna kilichofanyika kuweka legacy.
 
Hilo la bidhaa kutopanda bei ni sahihi. Nakumbuka marehem bibi alikuwa mpenzi wa Kilimanjaro Lager na ilikuwa inauzwa 500 hadi anaingia Kikwete ilipopanda mara dufu bibi tukaanza kumtafutia vyanzo vingine vya stim
 
Mbona unamsema sana JK?kuna kitu gani alikufanyia?kila thread unamsema
 
Hilo la bidhaa kutopanda bei ni sahihi. Nakumbuka marehem bibi alikuwa mpenzi wa Kilimanjaro Lager na ilikuwa inauzwa 500 hadi anaingia Kikwete ilipopanda mara dufu bibi tukaanza kumtafutia vyanzo vingine vya stim
 

[emoji38][emoji38] Nyie watu mnachuki za ajabu sana
 
Mungu ana njia zake za kufunua ukweli wake. Leo ukweli umejulikana kutoka kinywani mwa mpenda sifa mwenyewe. Hivi sijui Mkapa alivyokuwa hai alikuwa anajisikiaje aliposikia hizo propaganda na kujikweza?
Kwa Mara ya Kwanza tatu magu awe prezida Leo ndo nimetumia muda wangu kumsikiliza,nilimuonea aibu wakati akitaja Mambo makubwa yaliyoasisiwa na mkapa? Ila kachemka alivyotaja eti mkapa ndo kamuibua JK yaani ameshindwa kujua kabisa kuwa wakati mkapa ni mbunge kikwete alikuwa ni presidential appointee na hakuwa mwalimu Kama yeye
 
Acha uhuni, daraja la busisi halijaanza kujengwa.
 

Nahisi wewe ndo Kigogo haki ya Mungu unamchukia mtu kupita kiasi
 
Amekwambia ukweli. Hivyo vitu ni mipango ya Kikwete. Tuwasifie watu wakiwa hai. Tusisubiri waondoke ndio tuwape sifa. Magufuli kama anaingia hapo basi anaingia kama Waziri wa Ujenzi.
[emoji38][emoji38] Nyie watu mnachuki za ajabu sana
 
Naamin hapa tunakumbushana mema na makubwa ya Mkapa kiuchumi naamini kuanzia Nyerere Mwinyi hata Kikwete hawajaacha alama KUBWA Kama Mkapa aliyoacha.
Aisee!!
Unasema Nyerere hakuacha nae hakuacha alama kubwa???
Nikusaidie tu hata JK amecha mambo mengi mazuri na makubwa. Ingia makataba na mitandaoni utaona.
Nyerere hana mfano wa hao wote, yeye tunaweza kujaza kabati la vitabu tukiandika mazuri na makubwa aliyofanya Nyerere na yangali hai hadi sasa.

Pengine sasa hivi wewe au ukoo wenu msingemiliki ardhi na wengi wetu hapa wasingesoma bila Nyerere.
Kifupi kila unachokiona hapa Tanzania katika msingi wake kina mkono wa Nyerere.
 
Mkuu limeanza nimetoka last week sina sababu ya kuongea uongo
Kama ni kweli anastahili pongezi. Ila mimi nilikua busisi mwezi wa 6 mwaka huu, kilichokua kimefanyika ni feasibility studies tu ila hakukua na dalili yoyote ya ujenzi kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…