Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Mungu ana njia zake za kufunua ukweli wake. Leo ukweli umejulikana kutoka kinywani mwa mpenda sifa mwenyewe. Hivi sijui Mkapa alivyokuwa hai alikuwa anajisikiaje aliposikia hizo propaganda na kujikweza?
Kuna mtu nilimsikia akisema awamu zote zilizopita hazikufanya kitu. Na watetezi wake wanajinadi mambo anayoyafanya sasa hayajawahi fanywa hapo kabla.
Vituko show.