Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

Nahisi wewe ndo Kigogo haki ya Mungu unamchukia mtu kupita kiasi
Hayo mambo ya chuki kwa mtu Mimi hayanihusu Ila magu is my prezida na anatumia Kodi yengu.i pay 2.7 m from ma salary every month achilia mbali Kodi ninayolipa kwenye manunuzi ya bidhaa mbalimbali.So kumsema si chuki Kama unavyodhani wewe msukuma unayeongozwa na tumbo
 
aldeo,

Mkuu Magufuli anafanya propoganda tu hana lolote,Mkapa aliamini katika mifumo,huyu magu anaamini katika one man show, Kikwete alijenga barabara nyingi na kuacha mifumo ifanye kazi zake,huyu magufuli yeye kila kitu anataka afanye yeye.
Kweli kabisa
 
Kwaio ww ukioa mke mkapanga kuzaa watoto wa 4 ila hadi mnaachana mkawa mmefanikiwa kupata watoto wawili...kidume mwenzio akamuoa akanzaa nae watoto wa 3 ,wale watoto wawili kati ya watatu wa mme mwenzio nao utasema ni wako kwakua tu ulipanga kuzaa nae watoto wa 4? Heb kua sereous kidogo...ht km unamchukia mtu be fair & honest to give a credit when due.
 
Wewe unajulikana una hasira na chuki kali sana kwa Magu, sasa hapa unamlinganishaje Magufuli aliekaa miaka 5 na hao waliokaa miaka 10?

Kwanini usisubiri Magu nae amalize 10 kisha ndio ufanye ukinganisho?

Wakati mwingine uanweza kuwa uanamchukia mtu mpaka ukaonekana mjinga sana.
Yaani unashindwa kufanya tathmini ya kiongozi kwa miaka 5? Kasome statistics ujue namna unavyoweza kufanya predictions based on available information.
 
Hayo mambo ya chuki kwa mtu Mimi hayanihusu Ila magu is my prezida na anatumia Kodi yengu.i pay 2.7 m from salary every month.So kumsema si chuki Kama unavyodhani

Chuki zako kwake zipo wazi wazi. Ubaya ni kwamba tupo nae zaidi ya miaka 10 mbele mtakufa kwa chuki.
 
We've think the same. Nimeona kila kitu mwasisi ni yeye. Wengine ni wazee wa kujimwambafwai tuu
 
Kama ni kweli anastahili pongezi. Ila mimi nilikua busisi mwezi wa 6 mwaka huu, kilichokua kimefanyika ni feasibility studies tu ila hakukua na dalili yoyote ya ujenzi kuanza.

Kila kitu kimeanza hadi baadhi ya material mitambo na kambi imeishakamilika na imeanza kazi usiku na mchana
 
aldeo,

Hivi kama leo hii ikitokea huyu wa sasa atwaliwe (Mungu apishie mbali though), jee ni kitu gani hasa cha maana (landmark) atakumbukwa kwacho?

Kumbuka hivi hapa chini ni vya JK:

- Kigamboni (Nyerere) bridge
- JNIA terminal 3
- flyovers (TAZARA, Ubungo & Kurasini)
- DART
- TZ kuingia uchumi wa kati (JK kachangia $480B, Mkapa $330B, JPM $100B)
- tarmac road network mikoani & wilayani
- UDOM
- Medical infrastructure (Mloganzila, JKCI)
Wewe ndio Hovyo kabisa
 
Nimesikiliza mambo ambayo Rais Magufuli anayasema kuhusu Mkapa binafsi naona Mkapa ni shujaa mkubwa mno wa Taifa hili maana alianzisha mambo muhimu mno mpaka sasa na sisi ambao wengi hatujui tulijua hayo yalianzishwa na Mwl. Nyerere au Mzee Mwinyi kumbe ni Mkapa, pia naona yale maubabe aliyokuwa anayafanya kumbe ilkua ni kwa nia njema kabisa.

Angalia jinsi alivyokuwa ana coordinate uchumi pia naskia alivyoingia madarakani hakuna CHAKULA kiliongezeka bei, binafsi sijui aliemfata madarakani Mzee Kikwete pamoja na kusafiri sana sijui makubwa ya maana aliyoyafanya hapa nchini ni nini hapo ndo napopata akili ya kuwa Rais Magufuli kumbe ameanzia pale alipoishia Mkapa.

Sasa naamini kwa maneno aliyoongea ya sifa tele kwa Mkapa akipita uchaguzi huu tutegemee wananchi kutokuwa na PESA mifukoni hasa wale wasiokuwa na ajira rasmi au shughuli rasmi ya kuingiza kipato na badala yake lazima apige Miradi mikubwa zaidi itakayoacha alama KUBWA kuwa hii iliasisiwa au kufanywa na Magufuli.


Na wala hakuwa na kiki baba wa watu. Leo mimi nikijenga choo tu mtaa mzima mtanijua
 
Wewe utakuwa mswahili tu.sina hakika Kama hata Kodi unalipa wewe

Kodi atulipi mdomoni kama unavyofanya mkuu. Sina ulka ya majivuno vyovyote utavyonichagulia nipo sawa kukubalia tu.

Unafikuri kila mtu akianza kutamba humu wengine si mtaanza kuwaamkia watu bila kuwafahamu?
 
mimi naona kama vile vitu vyote vinafanyika kutokana na ilani ya chama,sidhani kama kuna haja ya kubishana nani kafanya zaidi, nafikiri ndivyo wanavyopokezana vijiti. wangekua wanatoka vyama tofauti hapo mabishano yana ulazima kuwepo, sidhani kama magufuli mwenyewe ashasema jk au bwm hawakuwahi fanya kitu, ila huwa anafanya kulingana na mwongozo na mapendekezo ya chama na mahitaji wa wananchi.
 
Siku akianguka na yule mwingine utasikia sifa kede kede, ni kawaida tu mlamu!
 
Magufuli ameleta GePG! Hili ndio la maana kuliko vyote.
 
Back
Top Bottom