Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi.
Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza huko waendako, waziri yupo hana analofanya kurescue situation
Kwenye nishati napo speed yakuwapa wananchi imepungua kwa sababu yupo waziri anaamini kuwapelekea ya umeme watu maskini kwa bei ya hasara yaani 27,000 nchi itashindwa kwenda. Hapa napo pana shida ya ifikiri na inatokana na kumpa nafasi mtu ambaye toka azaliwe ajawahi kuishi kwenye giza wala kununua umeme kwa pesa yake mfukoni.....mtu ambaye matatizo ya wananchi anasimuliwa
Ukienda kwenye security unabaini NIDA imelazimisha kila huduma itolewe kwa namba ya NIDA lakini wao hakuna anayeweza kubuni namna yakuwapa wananchi NIDA
Juzi kati tumefanya sensa, matokeo yake sensa sasa inaanza kutumika kubana wamiliki wa ardhi, wamiliki wa nyumba na kulazimisha baadhi wakose huduma kwa sababu ya kuambiwa anadaiwa kodi ya ardhi na malimbikizo ya kodi mbalimbali yanayoingizwa kwenye ununuzi wa umeme.
Hapa hatukuzi uchumi, dogosha uchumi just kwa sababu tukiona njaa tunakwenda kukopa......we need new brains za kutumia rasilimali tulizonazo kupunguza deni la Taifa siyo kuzitumia kwenda kuombea mikopo