1.5 lazima ijulikane ilienda wapi
alinunua ndege 11 unaziona na shangazi yako anapanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.5 lazima ijulikane ilienda wapi
😁😁😁😁😁😁😁Hajui kulikuwa na mtu anajiita Nigas...(something), alikuwa anatupia nyuzi hata 10 kwa siku kumsifia Marehemu Meko, hadi amechoka kwa sasa sijui kapotelea wapi, Uzuri wa JF watu kama hawa ni wazee wa mbio fupi, huyu baada ya miezi 2 tu pumzi inakata!! JF ukiwa real huwezi kuboeka, ila hizi id za kulipwa vijisenti huwa wanajichokea na kukata tamaa mapema
Mkuu usijali kuhusu 2025. Kampeni itakuwa na ajenda moja tu; Mimi ni mama yenu!Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Kwenye nchi venye watu zaidi ya 60m kalemani ndio nani?Alikuwepo nyerere na sasa hayupo na Tanzania inaendele kusonga huyu Kalemani ndio nani?Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Kwa utaratibu upi na budge it?alinunua ndege 11 unaziona na shangazi yako anapanda
Nani alikuambia kuwa kulikuwa na shida ya usafiri wa ndege? Mpaka mkawakimbiza fastjet mbaki peke yenu mwisho wa siku gharama zenu ni za juu mara mbili ya fastjetalinunua ndege 11 unaziona na shangazi yako anapanda
Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Agent wa Shetani Dikteta Mwendakuzimu Mwenyewe kishasahulika Miongoni mwa watu, Sembuse Vibaraka wakeNimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Mtajua hamjuhi, ni swala la muda tuKila wanachojaribu kukitoa inashindikana
Imeisha hiyoNimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Na Bado mpaka muombe poo. Nimekosa mimi, nime.....Inauma sana
Inauma sana