Kwa karne hii mahari ni kitu outdated, tusiwauze mabinti!

Supapawa

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2026
Posts
1,076
Reaction score
2,690
Kwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa.

Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume.

Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi.

Aidha, zamani binti akiolewa anaweza kuwa mali ya ndugu wa mume wake (Kila atakaye anajipigia na inakuwa vyema tu) tofauti na miaka hii.

Kwa hiyo, siku hizi hii tabia ya kumnunua mwanamke unatakiwa imomeshwe kwa sababu kule aendako siyo tena mtumwa nalia anakwenda kufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…