masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
mi dhana ya mahari siipendi kwa kweliHuo ni ukweli mtupu. Baadhi ya makabila wanaendelea na utaratibu huu.
Eti masai dada, nasema uwongo?
mi dhana ya mahari siipendi kwa kweliHuo ni ukweli mtupu. Baadhi ya makabila wanaendelea na utaratibu huu.
Eti masai dada, nasema uwongo?
Ni kweli maana wewe ni lesbian, sasa KE kwa KE hamuwezi lipiana mahali upo sahihi kabsa.mi dhana ya mahari siipendi kwa kweli
Ni binti anauzwa ila kurembesha ndo utasikia" zawadi" 😅😅😅Kama ni zawadi basi pande zote za mtoto wa kike na kiume zilipaswa kutoa zawadi kulingana na gharama walizotumia kumtunza mtoto wao, tofauti na hapo hiyo ni biashara haramu ya kumuuza binti ili kuhalalisha huo utumwa
Asante unapangiwa kiwango🤣😂😂Ambayo asante hiyo haiwezi kueleweka ikitolewa kwa mdomo au kwa maandishi bila pesa?
Umejuaje?yawezekana wako akawa tofauti
upo sahihiNi kweli maana wewe ni lesbian, sasa KE kwa KE hamuwezi lipiana mahali upo sahihi kabsa.
Hamna kitu kama hikiKwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa.
Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume.
Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi.
Aidha, zamani binti akiolewa anaweza kuwa mali ya ndugu wa mume wake (Kila atakaye anajipigia na inakuwa vyema tu) tofauti na miaka hii.
Kwa hiyo, siku hizi hii tabia ya kumnunua mwanamke unatakiwa imomeshwe kwa sababu kule aendako siyo tena mtumwa nalia anakwenda kufaidi.
Kwanza ni Omission au contradictionNaomba nikufanyie cross-examination ndugu mshtaki ?
Itakuwa Omission hii apatiwe katiba kwanzaKwanza ni Omission au contradiction