Kweli ni ishu ya utamaduni, lakini ina athari hasi wakati mwingine.Hio ni ishu ya utamaduni unaowadefine watu wa jamii fulani haihusiani na maelezo unayotoa hapo.
Kwani ulipokuwa unamsomesha ulilenga aje kukusaidia au yeye ajikwamue?Yaani nimemzaa na kumlea binti yangu, akasoma kuanzia nursery mpaka university na shule zote hizo ni gharama kubwa, umekutana nae akiwa amenawiri na unataka umchukue tu!, wewe jamaa upo serious kweli!!
Hao waendelee kulipa, na ikiwezekana dau lipande kabisa. Maana wao ndio pasua kichwa ndani, pia wanaume ni wachachekwa hiyo na nchi ambazo wanawake wanatoa mahari inakuaje mkuu!
Hivyo yaani!
Saw lakini huwezi justify hilo kwa watu woteKweli ni ishu ya utamaduni, lakini ina athari hasi wakati mwingine.
Juzi nilimkuta mtu anamlamba vibao mke wake huku akimsindikiza kwa maneno makali, anasema, "kwanza nilikununua, halafu unaniletea jeuri?...", mwisho wa kunukuu.
BothKwani ulipokuwa unamsomesha ulilenga aje kukusaidia au yeye ajikwamue?
Sawa bora ni muuze kuliko kumgawa bure, hata yeye anataka hivyo. Wewe wa kwako gawa tu hawatachapika watakuwa na maisha mazuri huko watakakokuaMuuze tu haina shida, lakini kumbuka atachapika haswa maana amenunuliwa.
Ila wasukuma badilikeni binti kisa kamaliza 4m4 unadaiwa 6MKwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa.
Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume.
Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi.
Aidha, zamani binti akiolewa anaweza kuwa mali ya ndugu wa mume wake (Kila atakaye anajipigia na inakuwa vyema tu) tofauti na miaka hii.
Kwa hiyo, siku hizi hii tabia ya kumnunua mwanamke unatakiwa imomeshwe kwa sababu kule aendako siyo tena mtumwa nalia anakwenda kufaidi.
Enzi hizo nilikuwa na ndoto ya kuoa mwanamke wa kinyarwanda hadi nilipoenda kuishi sehemu yenye wanyarwanda wengi na kuwakuta ni masters wa huo mchezo.Huu uongo nani aliyekusimulia?
😂😂😂😂 Hapo unapewa na masharti ya dhamana binti yao jaman!!!!Binti anauzwa pikipiki ya matajiri matati almaarufu Guta inanunuliwa 🤣
Nachoka baba yenu!