Kwa karne hii mahari ni kitu outdated, tusiwauze mabinti!

Yaani nimemzaa na kumlea binti yangu, akasoma kuanzia nursery mpaka university na shule zote hizo ni gharama kubwa, umekutana nae akiwa amenawiri na unataka umchukue tu!, wewe jamaa upo serious kweli!!
 
Hio ni ishu ya utamaduni unaowadefine watu wa jamii fulani haihusiani na maelezo unayotoa hapo.
Kweli ni ishu ya utamaduni, lakini ina athari hasi wakati mwingine.

Juzi nilimkuta mtu anamlamba vibao mke wake huku akimsindikiza kwa maneno makali, anasema, "kwanza nilikununua, halafu unaniletea jeuri?...", mwisho wa kunukuu.
 
Yaani nimemzaa na kumlea binti yangu, akasoma kuanzia nursery mpaka university na shule zote hizo ni gharama kubwa, umekutana nae akiwa amenawiri na unataka umchukue tu!, wewe jamaa upo serious kweli!!
Kwani ulipokuwa unamsomesha ulilenga aje kukusaidia au yeye ajikwamue?

Nijibu kwanza hilo swali ndipo tuendelee.
 
Kweli ni ishu ya utamaduni, lakini ina athari hasi wakati mwingine.

Juzi nilimkuta mtu anamlamba vibao mke wake huku akimsindikiza kwa maneno makali, anasema, "kwanza nilikununua, halafu unaniletea jeuri?...", mwisho wa kunukuu.
Saw lakini huwezi justify hilo kwa watu wote
 
Sawa bora ni muuze kuliko kumgawa bure, hata yeye anataka hivyo. Wewe wa kwako gawa tu hawatachapika watakuwa na maisha mazuri huko watakakokua
Ni vyema na haki 😎
 
Ila wasukuma badilikeni binti kisa kamaliza 4m4 unadaiwa 6M
 
Huu uongo nani aliyekusimulia?
Enzi hizo nilikuwa na ndoto ya kuoa mwanamke wa kinyarwanda hadi nilipoenda kuishi sehemu yenye wanyarwanda wengi na kuwakuta ni masters wa huo mchezo.

Tena wao wanaenda extra miles kwa kuliwa ukweni na nyumbani pia. Yaani mkeo akiwa kwenu anazichezea za ndugu zako, na akienda kwao anachezea za ndugu zake!

Si ajabu kuzaa na kaka zao maana wanakulana tangu utotoni. Pia wakioana wao kwa wao kuzaa na babamkwe ni kawaida (maana ndiye anayezindua)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…