Kwa karne hii mahari ni kitu outdated, tusiwauze mabinti!

Ewaaaaaah! Mpaka hapo dogo anabisha?
 
Hapa umetupiga mkuu
 
Hizi ni tamaduni tangu enzi ambazo huwezi wewe ukataka tu kizivunja kwasababu ya reasoning zako kaka ndege.

Maana hata baadhi ya nchi mahali inalipwa lakini nchi kama ;

Nepal
Indonesia
China
North Korea
Pakistan

Mwanaume ndio anaolewa kwa maana yake ndo analipiwa mahali kwahiyo hizi ni tamaduni.
 
nadhani lengo la mahari ni asante kwa wazazi kwa kazi ya malezi malezi ya mtoto wa kike naona ni magumu.
Nadhani inabidi yawe ni makubaliano ya pande zote mbili na sio kukomoana
 
Sijakataa, lakini mtu akioa mahari (hasa wa Dunia ya Leo) lazima binti akome.

Unamtolea mtu mahari halafu anakuchiti n.k.
 
nadhani lengo la mahari ni asante kwa wazazi kwa kazi ya malezi malezi ya mtoto wa kike naona ni magumu.
Nadhani inabidi yawe ni makubaliano ya pande zote mbili na sio kukomoana
Asante ya milioni 6? 🤣🤣🤣
 
Sijakataa, lakini mtu akioa mahari (hasa wa Dunia ya Leo) lazima binti akome.

Unamtolea mtu mahari halafu anakuchiti n.k.
Upo sahihi japo wazazi wengi wanagruza kama fursa wengine wanataka binti zao watolewe hata 5M.

huu ndiyo mwanzo wa binti zao kunyanyasika, kwahyo wasichukulie kama mahali ni kigezo cha fursa.
 
Una binti wa kike? Ushawaozesha bila mahari ili kutoa mfano hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…