Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Ameen!ππππKila la heri mkuu.
Ahahahahaha!!!Hii ID uliirithi kutoka kwa babu yako, right?
Anyway, nitafunga kwa ajili yako.
kama una roho nyepesi usiende kule kaka na dada wanakulanaOkay π ndo maana warwandwa wanafananaπ
Hiyo Kahororo iko mkoa gani? Mbona kama Kigoma vile.Ahahahahaha!!!
Niliirithi kutoka kwa Mwalimu wangu wa Kiingereza Kahororo Secondary 1990/1993 akiitwa Mwl. Rutalala.
Yeye kila mwanafunzi alikuwa na jina moja tu "MTOTO WA SHULE!" Ungesikia, "We Mtoto wa Shule njoo tuone!"
Ahahahahaha!!!
Mm aisee mbona hiyo kali?kama una roho nyepesi usiende kule kaka na dada wanakulana
Mi Mhaya ebo!!!Hiyo Kahororo iko mkoa gani? Mbona kama Kigoma vile.
Si unaona, imebaki kidogo sana nipatie maana ni ukanda uleule πMi Mhaya ebo!!!
Nitake radhi Mkuu maana hii vita hutaishinda! ππππ€£!
Kahororo Secondary School ipo Bukoba Municipality, kilometa mbili tu kutoka Bukoba Airport!!
karibu unakaribishwaMm aisee mbona hiyo kali?
Ahahahahaha! Kwa hapo ni kweli! ππππSi unaona, imebaki kidogo sana nipatie maana ni ukanda uleule π
Wqnyarwanda ni wazuri ila kwa tabia hizo sisogeikaribu unakaribishwa
yawezekana wako akawa tofautiWqnyarwanda ni wazuri ila kwa tabia hizo sisogei
Kama ni zawadi basi pande zote za mtoto wa kike na kiume zilipaswa kutoa zawadi kulingana na gharama walizotumia kumtunza mtoto wao, tofauti na hapo hiyo ni biashara haramu ya kumuuza binti ili kuhalalisha huo utumwaMahari ni zawadi ila cha ajabu mtoa zawadi anapangiwa atoe zawadi gani na wanakaa kubargain na kumthaminisha huyo ambaye ni chanzo cha zawadi. Mara mweupe sana sijui kasoma sana kwahiyo ongeza kiwango. Zawadi ya ajabu sanaa
Ambayo asante hiyo haiwezi kueleweka ikitolewa kwa mdomo au kwa maandishi bila pesa?Mahari ni asante kwa wazee kumtunza Binti yao vizuri akiwa na afya njema na bikra