Kwa karne hii mahari ni kitu outdated, tusiwauze mabinti!

Kama ni zawadi basi pande zote za mtoto wa kike na kiume zilipaswa kutoa zawadi kulingana na gharama walizotumia kumtunza mtoto wao, tofauti na hapo hiyo ni biashara haramu ya kumuuza binti ili kuhalalisha huo utumwa
Ni binti anauzwa ila kurembesha ndo utasikia" zawadi" 😅😅😅
 
Mahari ni utaratibu ambao ushapitwa na wakati. Licha ya kutweza utu wa mwanamke, vilevile vigezo ambavyo alitakiwa kuwa navyo mwanamke kwa sasa tumewaambia wanawake sio vya muhimu tena kuwa navyo.
 
Huku usukumani huo ushauri wako hautafanya kazi
 
Hamna kitu kama hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…