AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka.
Watu tuwe tunaelewa dunia sasa imebadirika usiende kwa mtu bila taarifa.
Toa taarifa kabla ya kwenda kwa mtu kwamba ndugu yangu leo mimi nitakutembelea na nitalala huko huko kwa hio angalia mazingira nitakapofikia na kulala.
Sasa mtu kakurupuka tu huyu hapa kakaa wee giza limeingia anaulizwa vipi mboni hauendi kwenu? Ooh siondoki leo nimekuja kulala huku huku.
Aisee muwe mnatoa taarifa mapema. Usikurupuke tu kwenda kwenye majumba ya watu na kung'ang'ania kulala kwenye majumba ya watu bila taarifa.
Unawakwaza wenyewe uliowakuta ila basi tu wanaamua kukukalia kimya.
Mjifunze.
Sijawafokea.