AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
ππππMtu anakuvamia tu kumbe mwenyej unakula staff kwa mama ntilie,gongo chupa moja halafu unalala kama baiskeli....
Ndio maana tunasema watoe taarifa ili anavokuja unamwambia nibebeage na mchele wa kyela sijala siku nyingi,ili akibeba tu atakuja kula huohuo
Sasa mtu kakurupuka tu huyu hapa kakaa wee giza limeingia anaulizwa vipi mboni hauendi kwenu? Ooh siondoki leo nimekuja kulala huku huku."Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka.
Watu tuwe tunaelewa dunia sasa imebadirika usiende kwa mtu bila taarifa.
Toa taarifa kabla ya kwenda kwa mtu kwamba ndugu yangu leo mimi nitakutembelea na nitalala huko huko kwa hio angalia mazingira nitakapofikia na kulala.
Sasa mtu kakurupuka tu huyu hapa kakaa wee giza limeingia anaulizwa vipi mboni hauendi kwenu? Ooh siondoki leo nimekuja kulala huku huku.
Aisee muwe mnatoa taarifa mapema. Usikurupuke tu kwenda kwenye majumba ya watu na kung'ang'ania kulala kwenye majumba ya watu bila taarifa.
Unawakwaza wenyewe uliowakuta ila basi tu wanaamua kukukalia kimya.
Mjifunze.
Sijawafokea.
Sio kabisa yaan mtu bila taarifa tu kafika unajua labda mgeni wa saa limoja likiisha ataenda kakomaa hataki kuondokaUkifanya hivyo kwangu nitakupeleka guest ukalipie mpaka siku unaondoka. Ukanitangaze vizuri sipendi wageni
Sasa mgeni hajabeba hata fungu la nyanya la 200 na dagaa wa jero na kulala anataka msosi juu ya mwenyeji wake anaongeza bajeti na taarifa hakutoa na hajui atalala wapi, hii sio sawa kabisa ukiwa mbogo ooh ana roho mbaya maneno kibaoMtu anakuvamia tu kumbe mwenyej unakula staff kwa mama ntilie,gongo chupa moja halafu unalala kama baiskeli....
Ndio maana tunasema watoe taarifa ili anavokuja unamwambia nibebeage na mchele wa kyela sijala siku nyingi,ili akibeba tu atakuja kula huohuo
Ili usiende kutangazwa inakubidi uanze kuchokonoa viakiba vyako bank ulivyoweka kwaajili ya kununulia tofali...Sasa mgeni hajabeba hata fungu la nyanya la 200 na dagaa wa jero na kulala anataka msosi juu ya mwenyeji wake anaongeza bajeti na taarifa hakutoa na hajui atalala wapi, hii sio sawa kabisa ukiwa mbogo ooh ana roho mbaya maneno kibao
Kuna watu wanataka watu waonekane wana roho mbaya kitu ambacho sio kweli aisee unakuja bila taarifa next time inabidi nitoe funzo la kutoa mwaka maana kuna mtu niliwahi kumpa funzo ila watu hawakomi, siku hio kaja bila taarifa anaulizwa giza limeingia vipi mboni hauendi ooh nalala huku huku alilala store tusileteane ujinga kuanzia siku hio hakuja tena na alijifunza kwamba ukienda kwa mtu mjulishe kabla hujaenda sio unakurupuka tu na kujiendea km kwako mbaya zaidi unang'ang'ania unataka kulala kwanini haukutoa taarifa na unajua hapa sio kijijini ni mjini ?Ili usiende kutangazwa inakubidi uanze kuchokonoa viakiba vyako bank ulivyoweka kwaajili ya kununulia tofali...
Tutajenga kweli kwa mifumo hii?
Haya maneno,yeye mwenyewe ulimwambia? Maana kama hukumwambia haitasaidia kituUsikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka.
Watu tuwe tunaelewa dunia sasa imebadirika usiende kwa mtu bila taarifa.
Toa taarifa kabla ya kwenda kwa mtu kwamba ndugu yangu leo mimi nitakutembelea na nitalala huko huko kwa hio angalia mazingira nitakapofikia na kulala.
Sasa mtu kakurupuka tu huyu hapa kakaa wee giza limeingia anaulizwa vipi mboni hauendi kwenu? Ooh siondoki leo nimekuja kulala huku huku.
Aisee muwe mnatoa taarifa mapema. Usikurupuke tu kwenda kwenye majumba ya watu na kung'ang'ania kulala kwenye majumba ya watu bila taarifa.
Unawakwaza wenyewe uliowakuta ila basi tu wanaamua kukukalia kimya.
Mjifunze.
Sijawafokea.
Nimewaeleza nyinyi hapa ili km anapita atakua amesoma maana najua humu pia yupo na yeye pia ameshaelezwa kua next time ukija bila taarifa yatakukuta tunaweza tukakukataaHaya maneno,yeye mwenyewe ulimwambia? Maana kama hukumwambia haitasaidia kitu
SawaNimewaeleza nyinyi hapa ili km anapita atakua amesoma maana najua humu pia yupo na yeye pia ameshaelezwa kua next time ukija bila taarifa yatakukuta tunaweza tukakukataa
Mimi kwangu chumba cha wageni huwa kipo tupu,ukija ghafla hakuna pa kulalaNimewaeleza nyinyi hapa ili km anapita atakua amesoma maana najua humu pia yupo na yeye pia ameshaelezwa kua next time ukija bila taarifa yatakukuta tunaweza tukakukataa
Utalala storeMimi kwangu chumba cha wageni huwa kipo tupu,ukija ghafla hakuna pa kulala