Kwa kasi hii Makonda aongezewe Bashiru, Kabudi, Lukuvi na Polepole

Kwa kasi hii Makonda aongezewe Bashiru, Kabudi, Lukuvi na Polepole

Kasi ipi hiyo ya kutafuta cheap politics kwa kupigiapigia simu mawaziri hadharani bila adabu, u much know to unamsumbua huyo hana la maana ana asili ya kibri cha madaraka na kujiona yeue ndio yeye ule ule ujinga waagufuli yeye anaurudia
Sasa jomba kama wewe hupendi ni wewe..lakini nakwambia hivyo ndivyo wananchi wanataka..
 
Ha ha ha amerejesha Imani kwa wananchi? kupanda farasi na kulia kaburini ndio Imani irejee? Dah!
Kumbe na wewe wafuatilia. Hahahah.

Bado issue ya ngorongoro, akimaliza hiyo tu baasi.
 
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.

Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Chama na Dira ya Maendeleo ya Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia.

Kama mtanzania mzalendo na Mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi, nashauri Makonda aongezewe Nguvu ili kutekeleza vyema wajibu wa Chama Kuisimamia Serikali.

Hapa turejeshe majembe yaliyopumzishwa yaani Dr. Bashiru Ali Kakulwa, Humphrey Polepole, Prof. Kabudi na Komredi Lukuvi.

Watajwa hapo juu, wanafahamika kwa utendendaji uliotukuka, uthubutu na ujasiri wa kizalendo kwa maslahi ya nchi.

Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri, Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama, Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

Hapo nchi itaenda kwa kasi au nasema Uongo jamani?
Mkuu unataka watu walazwe kwa pressure?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri,

Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama,

Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha

Mchengerwa awe Nishati na

Kabudi Katiba na Sheria.

Mpina Waziri Mkuu

alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.
Naona mnataka mafisadi yalazwe hospitali kwa pressure![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kasi ipi hiyo ya kutafuta cheap politics kwa kupigiapigia simu mawaziri hadharani bila adabu, u much know to unamsumbua huyo hana la maana ana asili ya kibri cha madaraka na kujiona yeue ndio yeye ule ule ujinga waagufuli yeye anaurudia
Nyie wangese bila mjeredi hamuendi
 
Back
Top Bottom