Sasa jomba kama wewe hupendi ni wewe..lakini nakwambia hivyo ndivyo wananchi wanataka..Kasi ipi hiyo ya kutafuta cheap politics kwa kupigiapigia simu mawaziri hadharani bila adabu, u much know to unamsumbua huyo hana la maana ana asili ya kibri cha madaraka na kujiona yeue ndio yeye ule ule ujinga waagufuli yeye anaurudia
Kumbe na wewe wafuatilia. Hahahah.Ha ha ha amerejesha Imani kwa wananchi? kupanda farasi na kulia kaburini ndio Imani irejee? Dah!
Mkuu unataka watu walazwe kwa pressure?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.
Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Chama na Dira ya Maendeleo ya Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia.
Kama mtanzania mzalendo na Mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi, nashauri Makonda aongezewe Nguvu ili kutekeleza vyema wajibu wa Chama Kuisimamia Serikali.
Hapa turejeshe majembe yaliyopumzishwa yaani Dr. Bashiru Ali Kakulwa, Humphrey Polepole, Prof. Kabudi na Komredi Lukuvi.
Watajwa hapo juu, wanafahamika kwa utendendaji uliotukuka, uthubutu na ujasiri wa kizalendo kwa maslahi ya nchi.
Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri, Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama, Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.
Hapo nchi itaenda kwa kasi au nasema Uongo jamani?
Naona mnataka mafisadi yalazwe hospitali kwa pressure![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri,
Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama,
Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha
Mchengerwa awe Nishati na
Kabudi Katiba na Sheria.
Mpina Waziri Mkuu
alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.
Nyie wangese bila mjeredi hamuendiKasi ipi hiyo ya kutafuta cheap politics kwa kupigiapigia simu mawaziri hadharani bila adabu, u much know to unamsumbua huyo hana la maana ana asili ya kibri cha madaraka na kujiona yeue ndio yeye ule ule ujinga waagufuli yeye anaurudia
Kwani yeye alivyo fanya uporaji hakukuwa na mjerediNyie wangese bila mjeredi hamuendi