Kwa kasi hii ya Azam Wachina wa StarTimes wajiandae kufungasha virago?

Kwa kasi hii ya Azam Wachina wa StarTimes wajiandae kufungasha virago?

Ana hoja kubwa tu..contents nyingi za hicho kisimbuzi zipo upande wa Muslims hata tamthilia zao maudhui ya vipindi na hata watangazaji..hiko wazi kabisa
Unaweza kuweka idadi ya Waislam na Wakristo watangazaji hapa ili tuone? Watu wengine mnatia huruma, akili hizi haziwezi kutupatia Katiba mpya
 
Kwa kasi hii ya Azam wachina wa Startimes wajiandae kufungasha virago?

Naona Azam media wanazidi kuja kwa kasi leo hii wamezindua minara ya bilioni 50 mikoa 21

Baada ya Dish wamekuja na vya Antenna, hawa jamaa wapo vizuri sana naona kwa sasa Wachina wa Startimes wajiandae kisaikolojia tu maana sidhani kama kuna mtu timamu atatumia vile vidubwashwa vyao.

Kongole Azam media sasa huku kwa vya Antenna ndo mnaenda kusepa na nyomi ya kijiji.
Mimi nilidhani DStv ndio mpinzani mkuu wa Azam Tv, Kulinganisha Azam na Star Tv ni sawa na kulinganisha Yanga iliyofika fainali na Makolo
 
Azam bado, tuna options za kufuatilia mpira wa ndani ya nchi, ikiwemo vibanda umiza, maudhui yao hayafai kukuzia watoto wanaotakiwa ku-match na cultural diversity.
 
Baada ya Dish wamekuja na vya Antenna, hawa jamaa wapo vizuri sana

DTT ni digital lakini still imekaa kimasikini na sio reliable kwa kuwa ni terrestrial distribution kama mawimbi ya simu tu ...

I would prefer FTTx over DTT au DTH any day long, serikali ina fiber lakini haijui namna ya kuicommercialize kwa haraka kulingana na demand ya sasa....
 
Kwa kasi hii ya Azam wachina wa Startimes wajiandae kufungasha virago?

Naona Azam media wanazidi kuja kwa kasi leo hii wamezindua minara ya bilioni 50 mikoa 21

Baada ya Dish wamekuja na vya Antenna, hawa jamaa wapo vizuri sana naona kwa sasa Wachina wa Startimes wajiandae kisaikolojia tu maana sidhani kama kuna mtu timamu atatumia vile vidubwashwa vyao.

Kongole Azam media sasa huku kwa vya Antenna ndo mnaenda kusepa na nyomi ya kijiji.
Startimes ilikufa miaka 10 iliyopita niliwaambia kabisa nikiwa makao makuu yao pale Chaoyangmen. Hawana weredi wa African ways of doing business right from HQ
 
mwisho wa siku anayetaka azam anunue asiyetaka halazimishwi anaweza nunua startimes, zuku, au ting.
 
Back
Top Bottom