Kwa kasi hii ya Azam Wachina wa StarTimes wajiandae kufungasha virago?

Kwa kasi hii ya Azam Wachina wa StarTimes wajiandae kufungasha virago?

Jamiiforums ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu. Hiko kisimbuzi cha Star times mnavyokisakama kila siku humu mpaka juzi nikaona takwimu ndio kinachoongoza kwa mbali sana kuwa na watumiaji wengi Tanzania.
Na ambaye hana startimes ni mzee mzee ila vijana wengi tumetumbukia humo
 
Tunaenjoy na star times hapa kifurushi bei chee kabisa, sema channel za movie zinaboa wanaweka movie mbaya na marudio ni mengi
 
Bilioni 50 kusambaza antena? Badala ya kulipia EPL??

Azam bado sana...hawana channels za maana kabisa ...hata channels za South Africa Tu hawana hata moja
EPL Haina soko Kama NBC premier league hapa Tanganyika.
Siku kuwe na game ya Yanga na Jkt Ruvu halafu kuwe na mechi ya liver na man u'
Amini wengi watanganyika wataangalia hiyo ya NBC.
Nina Imani DSTV anaitamani NBC premier league kuliko Azam anavyoitamani PREMIER LEAGUE
 
Mapungufu ya Azam na ST
Mechi za ulaya (EPL)
Channel za documentary
Channel za dini (international)
Channel za movie ( hata za 2020 hazipo sana sana wataonyesha movie za 80s na 90s tena zenye quality mbovu sana
Channel za music
Channel za nchi jirani ( Rwanda, Burundi, Uganda)

Kwa ufupi Azam na Startimes wote hakuna kitu, DStv atawaburuza sana
 
Natumia Azam nyumbani wanatumia DStv na dukani kuna startimes Azam hana content kabisa ukiondoa mechi za ligi kuu za Simba na Yanga hakuna kinachobakia
Imagine vipindi ni vya kina Bin Zubery na labda hizo tamthiliya ambazo hata sijui zinatoka wapi zinaenda wapi
Imagine game za uefa,Europa,Seria A zote huoni Wala zile za Spain labda waboreshe
Movie ndio kabisa Kila siku utaangalia Colombiana na Sicario
 
DTT ni digital lakini still imekaa kimasikini na sio reliable kwa kuwa ni terrestrial distribution kama mawimbi ya simu tu ...

I would prefer FTTx over DTT au DTH any day long, serikali ina fiber lakini haijui namna ya kuicommercialize kwa haraka kulingana na demand ya sasa....
Unaiambia serikali hii hii ya Hangaya na Nape ndo waziri au Serikali zilizostaarabika huko duniani?
 
Mapungufu ya Azam na ST
Mechi za ulaya (EPL)
Channel za documentary
Channel za dini (international)
Channel za movie ( hata za 2020 hazipo sana sana wataonyesha movie za 80s na 90s tena zenye quality mbovu sana
Channel za music
Channel za nchi jirani ( Rwanda, Burundi, Uganda)

Kwa ufupi Azam na Startimes wote hakuna kitu, DStv atawaburuza sana
Usifananishe Azam na utopolo broo
 
Back
Top Bottom