Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Na ambaye hana startimes ni mzee mzee ila vijana wengi tumetumbukia humoJamiiforums ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu. Hiko kisimbuzi cha Star times mnavyokisakama kila siku humu mpaka juzi nikaona takwimu ndio kinachoongoza kwa mbali sana kuwa na watumiaji wengi Tanzania.
Chuki za kidiniKama Azam hawaoneshi UEFA na Europa bado sana. Yaani EPL wameshindwa hata hizo zingine. Siku Star times wakionesha ligi kuu Bara, basi Azam itafutika. Na Ndiyo maana waliingia mkataba wa muda mrefu na TFF,
Hayo ni maoni yakoChuki za kidini
EPL Haina soko Kama NBC premier league hapa Tanganyika.Bilioni 50 kusambaza antena? Badala ya kulipia EPL??
Azam bado sana...hawana channels za maana kabisa ...hata channels za South Africa Tu hawana hata moja
Huna akili. Unaangalia contents au unaangalia dini ya mtangazaji?Azam haitakiwi kukua sana kwa sababu ya udini maana kila mwajiriwa ni ahmed, abdul etc hili kichombo linapaswa life
Wadau, mwenye kuweza kuhama ahame nchi hii.Walalahoi wengi wapo huko
Burundi au?Wadau, mwenye kuweza kuhama ahame nchi hii.
Unaitoa unaipeleka wapi?Ukitoa NBC premier league azam Hana maajabu
Wewe kama siyo Fatuma huajiriwi azam wanaita kafiriUkitoa NBC premier league azam Hana maajabu
Wamekomaa na tamthilia za kimkakati za kituruki za kueneza diniBilioni 50 kusambaza antena? Badala ya kulipia EPL??
Azam bado sana...hawana channels za maana kabisa ...hata channels za South Africa Tu hawana hata moja
Wamekomaa na tamthilia za kimkakati za kituruki za kueneza dini
Unaiambia serikali hii hii ya Hangaya na Nape ndo waziri au Serikali zilizostaarabika huko duniani?DTT ni digital lakini still imekaa kimasikini na sio reliable kwa kuwa ni terrestrial distribution kama mawimbi ya simu tu ...
I would prefer FTTx over DTT au DTH any day long, serikali ina fiber lakini haijui namna ya kuicommercialize kwa haraka kulingana na demand ya sasa....
Usifananishe Azam na utopolo brooMapungufu ya Azam na ST
Mechi za ulaya (EPL)
Channel za documentary
Channel za dini (international)
Channel za movie ( hata za 2020 hazipo sana sana wataonyesha movie za 80s na 90s tena zenye quality mbovu sana
Channel za music
Channel za nchi jirani ( Rwanda, Burundi, Uganda)
Kwa ufupi Azam na Startimes wote hakuna kitu, DStv atawaburuza sana