Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
- Thread starter
-
- #21
Jamii za Mikoa mingine, Takwimu don't lie sasa endelea kutetea ujinga mtazidi kutopea kwenye umaskiniAcha ujinga wewe hivi ninyi ni jamii gani mlio na maendeleo sana kuzidi hao wasukuma?
Mkuu bora hata huko Katavi kuna ardhi kubwa kwa hiyo population density ni ndogo..Na kilichosababisha hiyo birthrate kubwa kwa Katavi ni sababu ya wasukuma kuhamia.Kwanza nakupongeza kwa kuchambua.
Ongezeko kubwa la watu linaathiri utoaji huduma, kipato cha mtu mmoja mmoja hasa kutokana na tija ndogo hivyo ongezeko la umaskini.
Ingawa umezungumzia zaidi kanda ya ziwa lakini pia mikoa ya Katavi, Songwe, na Pemba iko levo moja yote ikiwa na ongezeko lisilopungua asilimia 4.
Tanzania inapaswa kufanya kampenu kubwa kushusha birth rate mpaka asilimia 2.1 kwa nchi nzima. Watu wanaotetea uzazi mkubwa ndio hao hao wanaolalamika hakuna maji, wanafunzi wanakaa chini, huduma za afya ni mbovu nk. Kama ongezeko litaendelea kubakia au kungezeka zaidi basi serikali badala ya kujikita kuboresha huduma za afya, elimu, maji nk itakuwa kila mwaka inapanua miundombinu.
Kuwa na watu wengi wasio na kipato haina manufaa kiuchumi ndio maana nchi ndogo ndogo kama Denmark yenye watu kama milioni tano ni soko kubwa kuliko Afrika mashariki yote yenye watu takribani milioni 160. Pia kuwa na watu wengi wasio na kipato huzalisha matatizo ya kijamii kama uhalifu .
Mna Nini na Kanda ya ziwa mkitaka kuleta vurugu kongamano mnafanyie Kanda ya ziwa badala ya Kilimanjaro.
Ikijengwa miradi Kanda ya ziwa mwasema upendeleo.
Wakizaa Sana ni shida,kwani wamekuomba uwasaidia kulisha familia
Jamii za Mikoa mingine, Takwimu don't lie sasa endelea kutetea ujinga mtazidi kutopea kwen
Wewe ni mjinga tu> Hao watu wa kanda ya ziwa miaka yote ulishawahi kuwalisha?Jamii za Mikoa mingine, Takwimu don't lie sasa endelea kutetea ujinga mtazidi kutopea kwenye umaskini
Mtihani wa Taifa swali hili lilirindima miaka dahari drs la 7 B...km hivi...Nyenzo gani mkuu, lazima GDP ikue kuliko ongezeko la watu kinyume chake ndio itakuwa kuogelea kwenye umaskini,kodi kidogo kilio nchi nzima
Matusi ya nini tena mkuu?Acha ujinga wewe hivi ninyi ni jamii gani mlio na maendeleo sana kuzidi hao wasukuma?
shika adabu yako wasukuma siyo maskini....hao ndg zako wazaramo wana utajiri gani??Ndio shida ya maskini na wasukuma kiujumla.Starehe ya maskini ni ngono.
Mimi nawafahamu wengi Sana ila wako Vijijini zaidi,mwanamke miaka 32 ana watoto 10
Takwimu zinaongea sio mimi mkuu,kama unaamini kuzaana huko kuna tija endeleenishika adabu yako wasukuma siyo maskini....hao ndg zako wazaramo wana utajiri gani??
Watoto wengi ni nguvu kazi tosha kabisa!! Km wewe hanithi unaona wivu omba msaada.
Kuzaa si suala la mchezo km unavo dhani!!
Ardhi ipo na watu wapo ila sasa watu wenyewe ni maskini na mburura sasa hao watakusaidia nini? Ndio maana unaona tozo kidogo kilio kikubwa Hali ni mbayaMtihani wa Taifa swali hili lilirindima miaka dahari drs la 7 B...km hivi...
.
Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne navyo ni.....
1.Watu
2.Ardhi........
Sioni ajabu!!leo waja kinyume!!!daaa!! wewe ulipata zero tu!! huko st kayumba yako au hukulijua hili kabisa bin kilaza.....mfyuxccv.
Lakini haiondoi ukweli kwamba ni maskini wa kutupwa na huko ccm itaendelea kutawala Milele 😆😆Wewe ni mjinga tu> Hao watu wa kanda ya ziwa miaka yote ulishawahi kuwalisha?
Sasa huko Kanda ya ziwa mna elimu ipi?Wenye elimu huwa hawazaliani kama simbilisi ndio maana wingi wenu hauna tija unawasukumiza kwenye umaskiniLeo mleta hii topic anatunanga sana sisi wa kanda ya Ziwa kisa tumezaliana sana, ili nchi iendelee inahitaji watu wenye elimu na afya njema, na mpango wa Mungu ni kwamba watu wazaliane wajaze nchi, ndo maana wasikuma wako huku mlimba na Maeneo ya ifakara wanalima mpunga, watu wa kanda ya ziwa ni wachapakazi sana, labda tuwashauri umuhimu wa kutumia contraceptives as one way of population control, life is very unbearable is some sukuma families in Shinyanga Rural areas despite of their hardworking, they are living from hand to mouth,
Ni maskin kwa mtazamo wako mkuu ila wale ni matajiri. Km ardhi ipo lazima watajirike tu!! au nikutajie kila kitu hayaArdhi ipo na watu wapo ila sasa watu wenyewe ni maskini na mburura sasa hao watakusaidia nini? Ndio maana unaona tozo kidogo kilio kikubwa Hali ni mbaya
Huyo mpumbavu achana nae ana chuki na kanda ya ziwa, unaona anasema kanda ya ziwa wanategemea migodi tu, unajua kabisa hana akili, hata ziwa tu ambalo limeipa kanda jina hajui liko wapi. Tutawashikisha ukuta tu.Ni maskin kwa mtazamo wako mkuu ila wale ni matajiri. Km ardhi ipo lazima watajirike tu!! au nikutajie kila kitu haya
Na uongozi bora basi.....
Weupe wanatupiga vita sana kwa hili. Unawasaidia!! wewe bila shaka Umekula cha juu!! sababu wao kamwe hawawezi kuzaa km sisi. Tena majira wao hawatumii. Ok!!
Mie nadhani hujawahi kumbana na hili swali mkuu!!
Km uongozi si bora watakuwaje matajiri? Mfano uongozi mbovu km wa jiwe!!
Uchumi wa Tz ulishuka toka asilimia 6.7 enzi za mkwere...mpaka jwe ana kufa ulikuwa chini kwa asilimia 4.5.kwa mujibu wa WB.
Uongozi bora na idadi ya watu vinaendana pia.
Ardhini utapata kila kitu na utaishi maisha bora mno. Lkn je unaongozwa vyema na wenye mamlaka?? Au ni wezi dhurumati tu km jiwe?
Kanunua midege cash sasa zaruka 2 tu!!
Kawatimua watoto wa maskini kazi eti ni wafanyakazi hewa bila bakshish. wkt waliitumikia sirikali walisoma vyuo vya sirikali.je hao watoto wao walio wazaa wataendelea vipi?? Chini ya sirikali za hivi??... Hapo hapo...
Watoto wa wakubwa pale BOT. TRA Bandari nk wakiachwa huru... Akikosolewa kwa vitendo vyake anakuteka maksudi tu huku anafurahi.... Ufilie kwa mbali bila huruma na watu wanaona hivi!!
Sasa yule muhindi alikosa nini akamteka??? Tena wazi wazi...Angesema vizuri tu "dogo nataka fedha moja mbili baaasi....
Huo wa jiwe ndo uongozi mbaya sana.. mpaka Mungu alikasirika!! Kwa mara ya kwanza Africa hii!! sasa hivi ananyea debe ahera!! Usidhani yuko salama kule anabeba mtondoo...
Haya malizia ya mwisho numb. nne!!
hapana hao wanajua!!! Hawakufuata ya mzungu...richa ya utumwa.kukoloniwa miaka mingi.na ukoloni mambo leo wa sasaSasa huko Kanda ya ziwa mna elimu ipi?Wenye elimu huwa hawazaliani kama simbilisi ndio maana wingi wenu hauna tija unawasukumiza kwenye umaskini