Kwa kasi hii ya kuzaliana kwa watu, Umasikini utazidi kukita mizizi Kanda ya Ziwa

Aseee nmeptembea mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa watu huku wanazaliana kama utitiri huwez kumkuta bint asiye ba mtoto kanda ya ziwa....alafu afya za watoto wengi wadogo ni mbaya munooo nilikuwaa wilaya flan bado magonjwa ya miaka mingi kama unyafunzi kanda yq ziwa upo kwa wingi munooo alafu kuna mortality rate ya hali ya juu
 
Hao jamaa ni shida na huwa hawajisumbui Sana kwenye malezi na shule kila mtu atajijua
 
Halafu Tanzania ni kubwa sana!! Hata hii kasi haijatosha bado!!
Sawa ni kubwa lakini uwezo wa serikali kuwahudumia Hawa watu ni mdogo.

Tija ya watu pia ni ndogo kwa hiyo watu wanakuwa mzigo kuliko faida.

Na hayo maeneo ya Kanda ya Ziwa yanakuwa msongamano mkubwa unaozaa umaskini
 
Usiniulize mimi mjiulize wenyewe maana growth rate yenu ni 2.6 ambayo itapungua kwa sababu za elimu zaidi,kipato zaidi na kuwa busy na kusaka pesa.
Dar es salaam haitegemei tu rate ya kuzaliana ndani ya dar, wa mikoani wanaingia dar kwa kasi sana. By the time mwanza imefika hapo dar itakua mbali sana. Na wanaoingia dar sio kuwa wamefungiwa speed gavana ya kuzalisha...
 
Dar es salaam haitegemei tu rate ya kuzaliana ndani ya dar, wa mikoani wanaingia dar kwa kasi sana. By the time mwanza imefika hapo dar itakua mbali sana. Na wanaoingia dar sio kuwa wamefungiwa speed gavana ya kuzalisha...
Wewe hatuongei kwa kutunga,angalia kasi ya mabadiliko kwa sehemu zote 2 kwa reference ya sensa ya 2012

Dar watu wataongezeka ila watakuwa around 7 mil.both kwa kuzaana na uhamiaji.

Mkoa wa Mwanza watu watafikia around mil.8 yaani watadabo kutokana na kuzaana na hii itakuwa ni Kanda yote ya ziwa.

Kwanza kasi ya uhamiaji kwa Dar imepungua kwa vile sehm zingine za nchi zinafanya vizuri kiuchumi nk
 
Jamii forum ina watu mchanyiko, kwahiyo unataka kuishi maisha ya miaka ile?asante kiongozi
Mbona unashangaa mkuu? Hayo magonjwa yaliletwa na watalaamu ili watu wawe watumwa wa dawa zao.
Pharmacists don't create cure but they rather create customers sir bear it in your mind.
Kuna eneo fulani Ivi wilayani ngorongoro haikuwaga na mbu Hawa watalii waliziletaga.
Ndo Mana ukitokea kutibu Kansa ama unapinga madawa Yao unapotezwa
 
Sasa ndugu watu wenye mapato mil.2.6 kwa mwaka wanakuzaje uchumi?

Ndiyo maana nasema kilimo kikiwekewa mikakati pesa zitaongezeka! Lakini vijana wapunguze vijiwe wakusanyike na kuweka makundi ya kimaendeleo kama kilimo, ufugaji na uvuvi hata serikali itaweza kusaidia makundi lakini sio moja moja
 
India, Nigeria na Brazili sio nchi za kujifunza kitu cha maana. Zina umaskini na mafukara tele, usalama duni na mambo ya hovyo mengi.
 
Kufikiria ardhi kubwa ndio itaondoa umaskini ni ufinyu wa fikra. Watu wapunguze kuzaliana kama wako kwenye marathon.
 
Wingi wa watu hauna tija yoyote katika maendeleo ya taifa, zaidi sana ni mzigo tu kwa wananchi walipa kodi.
Umasikini unakuja pale tu kama watu ni tegemezi lakini wakifanya kazi mfano walimw vizuri watu wanaweza kukuza uchumi
 
Hujui kusoma Trend. Bangladesh na Pakistan nazo zina watu wengi pia ila ni mafukara. Brazil, india na Nigeria ni nchi zenye umaskini na mafukara tele na matatizo makubwa ya usalama , wala sio nchi za kutolewa mfano.

Kama nchi nyingi zenye watu wengi ndio zinakuwa kasi kimaendeleo sasa hivi basi zimechelewa sana. Denmark, Norway, Finland, Switzerland, UK zenye watu wachache zilishaendelea muda mrefu sana.

Watu waache kuzaliana kama wako kwenye marathon.
 
Norway Ina watu wangapi??
 
Mwendazake alihimiza sana wazaliane kwakuwa shule ni bure, akilenga mbali sana kwenye support ya dynasity yake kutawala kisiasa miaka na miaka.
Akampenda zaidi.
 
Mawazo ya ki bil gate....! Tunajua sasa....kwa nini songombingo zinaelekezwa kanda hiyo na mawakala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…