Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kasi inaendelea, mara Flyover ya Tazara, mara 8 lanes highways, sasa daraja last baharini pale Salander, Ubungo interchange inakuja, Stiggler, SGR, etc etc, kuna haja kweli ya kumpima mtu huyu 2020?.
P
 
Upo kwa sababu Katiba yetu inasema hivyo!,ila tu kama wote tungeunga hizi juhudi bila kujali itikadi na uroho wa madaraka hakika taifa letu ndani ya miaka 10 tungepiga hatua kubwa sana!
 
Mkuu Luandagula, kwenye uzi huu nimeuliza kuwa kwa vile hitaji la kufanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 ni takwa la kikatiba, jee katiba hiyo ni ya nani?, na ili imfaidie nani?.

Katiba ni yetu sisi Watanzania kwa manufaa yetu, sasa tukiona kasi ya Magufuli ni muhimu kuliko vizingiti vya kikatiba, kuna ubaya gani tukiibadili hiyo katiba?.
P
 
Kasi inaendelea, mara Flyover ya Tazara, mara 8 lanes highways, sasa daraja last baharini pale Salander, Ubungo interchange inakuja, Stiggler, SGR, etc etc, kuna haja kweli ya kumpima mtu huyu 2020?.
P
Kama hiyo ndio hoja yako ya kuhalalisha kutofanyika kwa uchaguzi mkuu basi Watanzania tuna tatizo kubwa sana la kufikiri, kwa hoja yako hiyo basi huko kwenye nchi za dunia ya kwanza USA, Ulaya na Asia pasingekuwa panafanyika chaguzi
 
Upo kwa sababu Katiba yetu inasema hivyo!,ila tu kama wote tungeunga hizi juhudi bila kujali itikadi na uroho wa madaraka hakika taifa letu ndani ya miaka 10 tungepiga hatua kubwa sana!
Huwezi kuunga juhudi za kuua uhuru wa habari, Uhuru wa kujieleza, kudidimiza uchumi wa watu, kuvunja katiba na sheria kwa kuzuia shughuli za vyama vya siasa, ubaguzi wa kiitikadi za kisiasa n.k, hayo kuyaunga mkono lazima uwe na matatizo ya kufikiri, juhudi za maendeleo hakuna Mtanzania anayepinga
 
Wakati Kikwete karuhusu hayo yote kipindi cha uongozi wake,kwa nn Mlimtukana,mlimkejeli mliongea kila aina ya maneno na kumbeza mbona hamna misimamo thabiti,ttzo mnabadirika sana kama kinyonga!
 
Hili ni bandiko la swali na swali hili bado liko valid, hata baada ya hili la kikokotoo, bado 2020 kunahitajika uchaguzi wa rais, au Magufuli aendelee tuu hadi 2025?, and may be more?.
P
 
Kasi inaendelea, mara Flyover ya Tazara, mara 8 lanes highways, sasa daraja last baharini pale Salander, Ubungo interchange inakuja, Stiggler, SGR, etc etc, kuna haja kweli ya kumpima mtu huyu 2020?.
P
Rudi kasome katiba ya nchii hauwezi kuendeshwa kwa mizuka tu kama ulivyowaza,,lazima tufate utaratibu uliowekwa ki sheria,,,Hayo maendeleo anayofanya hata wengine walifanya ila walifanya kama wajibu wao,,, sasa nyinyi mnataka kutuaminisha Rais anachofanya sio responsibility yake ni Hisani?..grow up!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachoficha /unachoshindwa kueleza/usichofahamu/usichoelewa ni hiki

NI KITU GANI AMBACHO NINYI MTASIMAMIA KAMA AGENDA"KISICHOKUWA WAJIBU WENU BAADA YA KUSHINDA" ILI TUTARAJIE MKIKITEKELEZA KITAKUWA TOFAUTI NA JPM ???

Kwamba Kwa sasa anayofanya JPM ni MAJUKUMU yake.. NI SAHIHI

Sasa ninyi mtafanya YAPI tofauti Ambayo hayatakuwa MAJUKUMU yenu ili Muonekane kuwa tofauti na HUYU JPM???

VINGINEVYO NI WIVU WA KISIASA

ndo Maana Paschal anasema KUNA HAJA YA UCHAGUZI???
MAANA NI KAMA KAWANYIMA PEOPLE'S BASED AGENDA!!!!

Mtabaki na WESTERN'S BASED AGENDA
(USHOGA... KUANDAMANA....NK)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?.

1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tuu?.

2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources?!. Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?.

4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.

9. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM wa kumtoa rais ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?.

10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli?, kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Pascal Mayalla hakika umeonesha udhaifu mkubwa kiusomi kwani hili ni andiko lako na ni mawazo yako yanayoreflect ufahamu wako.
Toka uundiwe kile kikao haupo normal na akili binafsi.
Mosi, matakwa yako unayatoa as if nchi ni ya chama kimoja.
Unachotaka tujadili au kuunga mkono ni kama nchi hii ni ya kifalme hivyo mtawala ni wa muyaya.

Usiwekee watu ukomo wa kufikiri hata kama wewe umewekewa terms and conditions za kuongea lakini ujue wengine wako free.
Usijifunjie heshima yako ghafla kiasi hicho hata ikiwa umeamua mwenyewe kuivunja nakushauri uivunje taratibu.

Nchi hii ina katiba isiyo na ulinzi na isiyo fuatwa ingawaje wahusika waliapa kuilinda wewe unajua then unaleta mahaba yako ya dharula uliyopata tuyajadili.Pole mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachoficha /unachoshindwa kueleza/usichofahamu/usichoelewa ni hiki

NI KITU GANI AMBACHO NINYI MTASIMAMIA KAMA AGENDA"KISICHOKUWA WAJIBU WENU BAADA YA KUSHINDA" ILI TUTARAJIE MKIKITEKELEZA KITAKUWA TOFAUTI NA JPM ???

Kwamba Kwa sasa anayofanya JPM ni MAJUKUMU yake.. NI SAHIHI

Sasa ninyi mtafanya YAPI tofauti Ambayo hayatakuwa MAJUKUMU yenu ili Muonekane kuwa tofauti na HUYU JPM???

VINGINEVYO NI WIVU WA KISIASA

ndo Maana Paschal anasema KUNA HAJA YA UCHAGUZI???
MAANA NI KAMA KAWANYIMA PEOPLE'S BASED AGENDA!!!!

Mtabaki na WESTERN'S BASED AGENDA
(USHOGA... KUANDAMANA....NK)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na kina nani tutafanya nini?.. Mimi kazi yangu ni kufndisha chemistry na biology,, sasa naona usha tathimini uka conclude kuwa Mimi ni opposition sio?..ni kweli in terms of perception,, ila kwenye maamuzi simo, am mere Royal servant to my country,, ,, HIZO AJENDA ZA KIJAMII ZIPO NYINGI AMBAZO.HAZIJAGUSWA ,NGOJA MUDA UTAKAPOFIKA PROPAGANDA ZITAKAPO PROVE FAILURE ,,,I BET THIS TIME ATAPIGA NA SARAKASI SIO PUSH UP TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?.

1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tuu?.

2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources?!. Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?.

4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.

9. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM wa kumtoa rais ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?.

10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli?, kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Inaruhusiwa kutokufanya uchaguzi wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya ccm ndani ya chama na kumpitisha yule yule ingawaje nayo ni kukiuka katiba ya ccm lakn siyo kutokuwepo kwa uchaguzi utadhani kuna muungano wa vyama vyote nchini. Usiminye demokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu we as a country of about 40+ million. People,, naamin tunao watu Makini. Wazalendo wa kweli wenye nia ya dhati ya kutuvusha kutoka hapa tulipo sema platform haiwaruhusu ,,,JPM isn't an angel and he is for no good for 20+ and so maekua part ya serikali amabayo by his. Own words ana claim imetufikisha hapa tulipo shameee on him he had a chance kurekebisha ila alishiriki blender ,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna tofauti Sana!!!!
Mimi nafundsha Physics na Mathematics

Tatizo ni kwamba hukuwa umejiandaa kuwa Challenged!!! Ndo Maana umehamaki

Ni kweli Agenda ZIPO nyiiiingiii na watazitumia hizo pia kujenga hoja

LKN WW MWENYEWE UMEKIRI KUWA JPM ANAFANYA MAENDELEO KTK NCHI HII....

KWAN WAKATI WENGINE WANATUMIA HIZO AGENDA KUMCHALLENGE YEYE ATAZUIWA KUTUMIA HAYO MAENDELEO ALIYOFANYA KUJITETEA NA KUTHIBITISHA KUWA ANAWEZA???? (Kama ulivyokiri mwenyewe)

Ni MUHIMU kutambua kuwa baada ya hapo maamuzi yatabaki kwa mtu binafsi kuamua... Kati ya hao watakaokuwa na agenda mpya za KUMCHALLENGE JPM na yeye atakayeonyesha ambayo tayari ametekeleza

USIMILIKI MAAMUZI YA WATU.. WATAAMUA WENYEWE

kama Akipiga Sarakasi itakuwa MOJAWAPO ya strategy za kushinda Kama alivyotumia Push ups akashinda...Wengine walitumia strategy za KUDEKI BARABARA NA KWENDA KUSALIMIA WATU MASKINI MITAANI AMBAKO HAWAJAWAHI KUFIKA KABLA.. (na baada ya uchaguzi hawajaonekana huko tena!!!)
BAHATI MBAYA MBINU HIZO HAZIKUKUBALIWA NA WALIO WENGI

HATA HIVYO:- HOJA YA PASCHAL SIYO KUKATAZA UCHAGUZI KUFANYIKA!!!!! BALI KUONYESHA KWAMBA JPM KAFANYA MENGI MAZURI HUENDA KULIKO WATANGULIZI WAKE KTK MIAKA HII MITATU

MABAYA YAPO PIA.. SIKU YA AGENDA YA KUKOSOA TUTAYAONGELEA.. Kama ambacho hufanya PASCHAL kwa kukosoa ktk threads zake nyiiiingiii humu JF

NO ONE IS PERFECT...NDIYO MAANA HUU NI UONGOZI WA KIBINDAMU....WE'RE SUBJECT TO MISTAKES

Sorry kama nimekukwaza Mwalimu mwenzangu
KIKOKOTOO HOYEEEEE
Mimi na kina nani tutafanya nini?.. Mimi kazi yangu ni kufndisha chemistry na biology,, sasa naona usha tathimini uka conclude kuwa Mimi ni opposition sio?..ni kweli in terms of perception,, ila kwenye maamuzi simo, am mere Royal servant to my country,, ,, HIZO AJENDA ZA KIJAMII ZIPO NYINGI AMBAZO.HAZIJAGUSWA ,NGOJA MUDA UTAKAPOFIKA PROPAGANDA ZITAKAPO PROVE FAILURE ,,,I BET THIS TIME ATAPIGA NA SARAKASI SIO PUSH UP TU

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskal mh.alikuwa ndani ya baraza la mawaziri kwa miaka 20 chama chake ndicho kinachoongoza tangu Uhuru tuambie paskal nani aliipndisha hii nchi ?
Je mh.kaichukua hii nchi toka chama kingine (chadema) ? Je kwa miaka 20 ya kuwa ndani ya baraza yy hajahusika na lolote kupindisha kati ya yale anayojinasbu kuyanyoosha Leo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom