Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Paschal Mayala aka Njaa k
Nakupongeza na ikifika mwaka 2025 nitapeleka hoja ili tufanye mabadiliko ya Katiba na kuondoa kile kifungu cha miaka 10, huyu tumfanye awe kiongozi wetu wa maisha kama kule kwa wenzetu wanaotujengea mabarabara na ile reli ya Tz hadi Zambia, kwanza tunapoteza muda na hela kufanya uchaguzi, ingependeza mwaka 2020 akapita bila kupingwa.
Mkuu Katojo Kajelengese, kiukweli mawazo yako haya tunafanana, naunga mkono hoja.

P
​
 
labda makada wa ccm ndio watakaolilia uchaguzi ili wamkomeshe magufuli

sisi tulioitaji uwajibikaji tunafurahishwa sana na JPM yaan kinachotokea ndicho tulichokipigia kilele siku nyingi

mungu mwongezee magufuli ukali mara dufu......

dili za makada zinabanwa.....hahah hah hah yaan ni raha sana

HUWA NASEMAHATA RWANDA HAWAJAKOSEA KUMWONGEZA KAGAME THIRD TERM think of kila primary skuli pupil anatumia komputa kujifundishia wakati hata UDSM komputa moja kwa wanafuzi 100
Rudi tena uongee haya. Mwambie Pasco, msukuma wa Detroit na Ritz aliezimikia kusikojulikana.

Kama akili yako bado timamu.
 
Siamini leo Pasco unasema unatamani nchi ibadili katiba Magufuli aongezewe muda ili 'ainyooshe' nchi.All is not well with you.Leo nimekutoa maana rasmi.
Karibu pande hizi.
​
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.
Paskali
P.
 
CCM tunataka demokrasia, 2020 uchaguzi uwepo tu ili chama kisicho na demokrasia CHADEMA chenye mwenyekiti wa maisha Mbowe tuwadhihirishie hilo.
 
Mkuu Mayalla tafadhali njoo ufafanue hapo kwenye kipengele cha ukomo kuondolewa ulikua na maana gani?
nilimaanisha hivi
Wanabodi.

4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Natumaini umenielewa.
P.
 
Natumaini umenielewa.
P.
Mkuu nimekuelewa na siwezi kukupinga endapo hayo maoni yako ukakaa nayo wewe mwenywe tena ndani ya moyo wako kuliko kutusemea sisi wengine.Napinga kutusemea kwa sababu zifuatazo

1.Tanzania ni nchi kubwa na inawatu wengi sana kwa takwimu za sahivi ni watu 50+mil unaposema tuondoe ukomo wa vipindi kwasababu ya mtu mmoja kutenda mema unamaanisha kwamba sisi watu wengine 50mil tuliobaki ni kwamba hatuwezi kutenda huo wema alioutenda.Kwa kifupi mimi binafsi ukiniletea maada kama hii nitakwambia wewe ni mpumbavu hauna akili na likichwa lako limejaa maji tuu,yaani bora kukaa na nguruwe kuliko wewe.Labda nikupe mfano ndio utanielewa vizuri mfn Ww Pascal ulikua na mzazi wako ambae alikutimizia majukumu yote means alikupa kila kitu unachohitaji kwa kuwa ww ni mwanae,Je ilikuaje ukaondoka kwa mtu anaekupa mahitaji yote bila ww kupata shida na ukaamua kuondoka na ww kutafuta vyako.Kama uliona haikufai kuendelea kukaa bure na kulishwa na mzazi wako so why unatuambia tubadilishe katiba kwa sababu ya mtu mmoja ambae kwa namna moja au nyingine anakufaidisha(usinqoute vibaya ninaposema anakufaidisha) maana kila rais kuna mambo yake mazuri aliyatenda na mabaya yake pia.So kama waliokua wanafaidika kipndi cha awamu ya pili au ya tatu wangekua na akili kama zako nadhani tusingemsikia huyu raisi unaempa sifa hizi yaani haya unayoyaona ni mazuri leo usingeyaona lakini kuna wenzako wangekua wanafurahia.Kwa kifupi acha na hiyo JUCHE IDIOLOGY

Am sorry i got something to do kwa mfno huo utakua umenielewa,Nilikua na mambo mengi yakuandika lakini nakuomba utakaponijibu hii point yangu moja nataka uniambie kuwa bado unaishi kwa wazazi wako kwa maana hao nao wamekutendea mema na mengi mazuri so hutakiwi kuwaacha kama ambavyo unatka tuharibu utaratibu wa katiba yetu.
 
Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?.

1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tuu?.

2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources?!. Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?.

4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.

9. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM wa kumtoa rais ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?.

10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli?, kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Mayalla nmetokea kukuelew San post Zak.ww n good role model jap kun kipind ch makonda,ckukuelewa
 
Kama tulichagua kwaajili ya dar tu hakuna haja yakufanya uchaguzi ikiwa kigoma miradi mingi hatujui hatma yake mfano maji alituahidi mwaka Jana mwezi wa 11 kwa mji mzima lakini bado nikahawa bandari ya nchi kavu katosho soko la maziwa makuu vyote havijulikani kwasisi huku kigoma tumerudi nyuma sana nahata grid yataifa hatujui nilini tutapata umeme wa kushawishi wawekezaji kwa Mimi kama mkazi wa kigoma natamka bila kuwa na unafiki uchaguzi nimuhimu tena tungefanya hata kesho tutafute rais wa mikoa yote sio wa dar tu
 
We lazima utakuwa mhutu , yaani huoni mendeleo ya kigoma ya leo?
 
We umeanza kuchanganyikiwa wewe, inaonekana joto la njaa imeanza kukaribia familia Yako,nchi inanuka umaskini alafu unaanza kuleta hoja za njaa njaa.. Hatakama unamfumbia mjinga sio kwa hii Style.. Black skin is the rejected colour and sign of poverty bora me sio mtu mweusi.
 
We lazima utakuwa mhutu , yaani huoni mendeleo ya kigoma ya leo?
Ongea hoja acha kashfa nilivyo vitaja vipo maji yapo? bandari katosho IPO?soko maziwa makuu linajengwa?grid yataifa inafika lini ? Iliupate uwekezaji faida ya uwekezaji utakuwa huzijuwi bado unasema kigoma unamaendeleo unayaona wakati maji yapo pua namdomo lakini kunashida yamaji usipime unaingia kigoma kutoka inakuwa ngumu kiusafiri sio kama mpanda halo karibu muda Wote usafiri unapata kweli wehujitambui
 
Back
Top Bottom