Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #241
Upo kwa sababu Katiba yetu inasema hivyo!,ila tu kama wote tungeunga hizi juhudi bila kujali itikadi na uroho wa madaraka hakika taifa letu ndani ya miaka 10 tungepiga hatua kubwa sana!Kasi inaendelea, mara Flyover ya Tazara, mara 8 lanes highways, sasa daraja last baharini pale Salander, Ubungo interchange inakuja, Stiggler, SGR, etc etc, kuna haja kweli ya kumpima mtu huyu 2020?.
P
Mkuu Luandagula, kwenye uzi huu nimeuliza kuwa kwa vile hitaji la kufanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 ni takwa la kikatiba, jee katiba hiyo ni ya nani?, na ili imfaidie nani?.Upo kwa sababu Katiba yetu inasema hivyo!,ila tu kama wote tungeunga hizi juhudi bila kujali itikadi na uroho wa madaraka hakika taifa letu ndani ya miaka 10 tungepiga hatua kubwa sana!
Kama hiyo ndio hoja yako ya kuhalalisha kutofanyika kwa uchaguzi mkuu basi Watanzania tuna tatizo kubwa sana la kufikiri, kwa hoja yako hiyo basi huko kwenye nchi za dunia ya kwanza USA, Ulaya na Asia pasingekuwa panafanyika chaguziKasi inaendelea, mara Flyover ya Tazara, mara 8 lanes highways, sasa daraja last baharini pale Salander, Ubungo interchange inakuja, Stiggler, SGR, etc etc, kuna haja kweli ya kumpima mtu huyu 2020?.
P
Huwezi kuunga juhudi za kuua uhuru wa habari, Uhuru wa kujieleza, kudidimiza uchumi wa watu, kuvunja katiba na sheria kwa kuzuia shughuli za vyama vya siasa, ubaguzi wa kiitikadi za kisiasa n.k, hayo kuyaunga mkono lazima uwe na matatizo ya kufikiri, juhudi za maendeleo hakuna Mtanzania anayepingaUpo kwa sababu Katiba yetu inasema hivyo!,ila tu kama wote tungeunga hizi juhudi bila kujali itikadi na uroho wa madaraka hakika taifa letu ndani ya miaka 10 tungepiga hatua kubwa sana!
Rudi kasome katiba ya nchii hauwezi kuendeshwa kwa mizuka tu kama ulivyowaza,,lazima tufate utaratibu uliowekwa ki sheria,,,Hayo maendeleo anayofanya hata wengine walifanya ila walifanya kama wajibu wao,,, sasa nyinyi mnataka kutuaminisha Rais anachofanya sio responsibility yake ni Hisani?..grow up!..Kasi inaendelea, mara Flyover ya Tazara, mara 8 lanes highways, sasa daraja last baharini pale Salander, Ubungo interchange inakuja, Stiggler, SGR, etc etc, kuna haja kweli ya kumpima mtu huyu 2020?.
P
Kasi inaendelea, mara Flyover ya Tazara, mara 8 lanes highways, sasa daraja last baharini pale Salander, Ubungo interchange inakuja, Stiggler, SGR, etc etc, kuna haja kweli ya kumpima mtu huyu 2020?.
P
Unachoficha /unachoshindwa kueleza/usichofahamu/usichoelewa ni hikiRudi kasome katiba ya nchii hauwezi kuendeshwa kwa mizuka tu kama ulivyowaza,,lazima tufate utaratibu uliowekwa ki sheria,,,Hayo maendeleo anayofanya hata wengine walifanya ila walifanya kama wajibu wao,,, sasa nyinyi mnataka kutuaminisha Rais anachofanya sio responsibility yake ni Hisani?..grow up!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pascal Mayalla hakika umeonesha udhaifu mkubwa kiusomi kwani hili ni andiko lako na ni mawazo yako yanayoreflect ufahamu wako.Wanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?.
1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tuu?.
2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources?!. Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?.
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.
5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.
6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.
7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.
8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.
9. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM wa kumtoa rais ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?.
10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli?, kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.
Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.
Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.
Paskali
Mimi na kina nani tutafanya nini?.. Mimi kazi yangu ni kufndisha chemistry na biology,, sasa naona usha tathimini uka conclude kuwa Mimi ni opposition sio?..ni kweli in terms of perception,, ila kwenye maamuzi simo, am mere Royal servant to my country,, ,, HIZO AJENDA ZA KIJAMII ZIPO NYINGI AMBAZO.HAZIJAGUSWA ,NGOJA MUDA UTAKAPOFIKA PROPAGANDA ZITAKAPO PROVE FAILURE ,,,I BET THIS TIME ATAPIGA NA SARAKASI SIO PUSH UP TUUnachoficha /unachoshindwa kueleza/usichofahamu/usichoelewa ni hiki
NI KITU GANI AMBACHO NINYI MTASIMAMIA KAMA AGENDA"KISICHOKUWA WAJIBU WENU BAADA YA KUSHINDA" ILI TUTARAJIE MKIKITEKELEZA KITAKUWA TOFAUTI NA JPM ???
Kwamba Kwa sasa anayofanya JPM ni MAJUKUMU yake.. NI SAHIHI
Sasa ninyi mtafanya YAPI tofauti Ambayo hayatakuwa MAJUKUMU yenu ili Muonekane kuwa tofauti na HUYU JPM???
VINGINEVYO NI WIVU WA KISIASA
ndo Maana Paschal anasema KUNA HAJA YA UCHAGUZI???
MAANA NI KAMA KAWANYIMA PEOPLE'S BASED AGENDA!!!!
Mtabaki na WESTERN'S BASED AGENDA
(USHOGA... KUANDAMANA....NK)
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaruhusiwa kutokufanya uchaguzi wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya ccm ndani ya chama na kumpitisha yule yule ingawaje nayo ni kukiuka katiba ya ccm lakn siyo kutokuwepo kwa uchaguzi utadhani kuna muungano wa vyama vyote nchini. Usiminye demokrasia.Wanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?.
1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tuu?.
2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources?!. Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?.
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.
5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.
6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.
7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.
8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.
9. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM wa kumtoa rais ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?.
10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli?, kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.
Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.
Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.
Paskali
Mimi na kina nani tutafanya nini?.. Mimi kazi yangu ni kufndisha chemistry na biology,, sasa naona usha tathimini uka conclude kuwa Mimi ni opposition sio?..ni kweli in terms of perception,, ila kwenye maamuzi simo, am mere Royal servant to my country,, ,, HIZO AJENDA ZA KIJAMII ZIPO NYINGI AMBAZO.HAZIJAGUSWA ,NGOJA MUDA UTAKAPOFIKA PROPAGANDA ZITAKAPO PROVE FAILURE ,,,I BET THIS TIME ATAPIGA NA SARAKASI SIO PUSH UP TU
Sent using Jamii Forums mobile app