Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 571
Pascal I support you 100%.Rais wa aina ya JPM is what we needed,what else.Referendum ipite,wananchi wakiafiki,kitu ambacho sidhani kama kuna mtu "in his own mind"(ambaye hakushikiwa akili) atakaye kataa.Mimi nasema hata ikibidi katiba ibadilishwe,ingawa this is going a little bit too far.Mwanadamu ni mwanadamu anaweza kubadilika.Mkuu areafiftyone, katika bandiko hili nilishauri kitu kama hiki, leo tumeshuhudia jiwe la msingi la mradi wa Stigler, SGR inaendelea, Flyover zinaendelea, midege ndio hiyo inapaa kuzunguka dunia, mabarabara ndio usiseme, madini mkataba unasainiwa anytime from now, etc etc, kweli 2020 kuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais?.
P
Mkuu Lendila, sio kizazi chake maana Tanzania sio nchi ya kisultani au kifalme ila ni ukweli usiofichika kuwa kuna makabila ya majembe kazi, wenye bidii na wachapa kazi na kuna makabila ni wavivu na wapiga soga, hivyo nimeisha pendekeza rais wa JMT atokane na makabila wachapa kazi.
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Wanabodi, Naangalia huu mkutano wa Rais Magufuli na wafanyabiashara, kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa rais Magufuli. Namtafakari jinsi huyu jamaa anavyochapa kazi hadi sijui analala saa ngapi maana aliwahi kusema ana mafaili hadi room. Angalizo: Kama wewe ni mmoja wa wale wenye allegy...www.jamiiforums.com
P
Nilicho gundua kwako Pascal ni kuwa unapoona unawaudhi watu basi ndio roho yako inaburudika sana!Mkuu areafiftyone, katika bandiko hili nilishauri kitu kama hiki, leo tumeshuhudia jiwe la msingi la mradi wa Stigler, SGR inaendelea, Flyover zinaendelea, midege ndio hiyo inapaa kuzunguka dunia, mabarabara ndio usiseme, madini mkataba unasainiwa anytime from now, etc etc, kweli 2020 kuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais?.
P
Kuna watu wanaitwa mafarisayo, masadukayo na kuna watu wa mataifa. Mafarisayo na masadukayo hawa ni watu wanaoishi kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni, halafu watu wa mataifa, wao wanaishi kwa kufuata ukweli halisi wa kile kilichopo.
Ni kweli katiba, sheria, taratibu na kanuni zinaelekeza uchaguzi wa rais ufanyike kila baada ya miaka 5. Lakini uzoefu unaonyesha haijawahi kutokea a sitting president akashindwa kwenye uchaguzi wa awamu yake ya pili, kwasababu ni uchaguzi wa kugombea kisu huku mmoja ameshika kwenye mpini, kitu kinachoufanya uchaguzi huo kuwa ni igizo tuu la uchaguzi.
Sisi watu wa mataifa tumeuliza why do we have to spend all this money kufanyia igizo la uchaguzi wakati rais bora tayari tunaye and he does wonders?.
Kwa mtu anayeelewa the political dynamics za siasa zetu, 2020 kuna mtu wa kushinda na Magufuli?.
In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa 2020, Do We Still Have A Choice?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali dogo tuu kuwa uchaguzi wa 2015 tulikuwa na chaguo, jee uchaguzi wa 2020 tutakuwa na chaguo?. Declaration of Interest: Mimi Pascal Mayalla ni mshirika mkubwa wa "Joni Mtembezi Lebo Nyeusi" na ninapoandika hapa, tayari niko under the influence of Joni Mtembezi...www.jamiiforums.com
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kwa uchaguzi wa 2020, kwa mujibu wa utaratibu wao CCM, tayari tunaye mgombea wa urais ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Swali la kujiuliza kwa huu upinzani uliopo Tanzania kwa sasa, jee kwa uchaguzi wa 2020 mgombea wa CCM, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ana...www.jamiiforums.com
2020 kwenye urais, lets save, time, money and resources, Magufuli aendelee tuu
P
Wasomi wa sheria wanafahamu zaidi umuhimu wa yaliyomo kwenye katiba na sheria. Ukiona wasomi hao ghafla wanashadadia matendo tofauti na matakwa ya katiba na sheria, jua kuna dosari tayari-usomi ushahamia tumboni au kwenye maslahi mengine. And they don't care how they sound or look any more. Pity!
Naona waweza kuwa una nia njema na nchi hii, ilaWanabodi.
2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources?!. Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?.
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.
5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.
6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.
7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.
Paskali
Mkuu Bujoro, haya ndio maneno ya wazalendo wa kweli wa nchi yetu wenye uchungu na umasikini wetu, hivyo kuokoa fedha japo kidogo kuliko kuzitumia kufanyia maigizo.Hakuna haja ya kuharibu pesa ambazo zingefanya maendeleo mengine kwa kufanya uchaguzi mwingine wakat huyu aliepo anatufaa kuendelea naunga mkono Magufuri aendelee kuwa rais wa nchi yetu kwa miaka 30 mbele ili nchi inyooke na ipige hatua kimaendeleo na kuufikia uchumi wa kati na usiotegemea msaada ya mabeberu wanatuibia mali zetu kama walivofanya kwenye awamu ya 5 na 4 kama kupandisha wanyama wetu kma twiga, nk. Labda tufanye uchaguzi wa madiwani na wabunge tu rais mh Magu anatosha sana.
Not simple as you think. Kama ndo hivyo basi ile katiba mpya ingekuwa kazini kwa season hii.Kwani katiba ndio nini?. Katiba ni ya nani?. Ni kipande tuu cha karatasi, tunaweza kuiweka pembeni, na maisha yakaendelea!.
P
Wanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?.
1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tuu?.
2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources?!. Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?.
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.
5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tuu?, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.
6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.
7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.
8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.
9. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM wa kumtoa rais ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?.
10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli?, kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.
Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.
Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.
Paskali
Wanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?.
1. Kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tuu?.
2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources?!. Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?.
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.
5. Kwani katiba ni nini?, si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?.
6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?!.
7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?.
8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, , Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?.
Paskali
Harakati zimeanza.Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere
Maandamano hayaruhusiwi!Sisi wananchi Tutaandamana atawale milele
Maadamano ya kupinga ndio hayaruhusiwi, maandamano ya kupongeza ruksa, na mifano ipo ukitaka nikuwekeeMaandamano hayaruhusiwi!
NotedMaadamano ya kupinga ndio hayaruhusiwi, maandamano ya kupongeza ruksa, na mifano ipo ukitaka nikuwekee
P