ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,707
Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere,atakuwa amekaa miaka 25.
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kutoa neno ili kupitia kauli zao tunaweza tukafanya maamuzi kama taifa, na pengine waende mbele zaidi kwa kutueleza faida za yeye kukaa miaka 20 na hata madhara wengine kam yapo
Tujadili kwa pamoja ,karibuni