Na kuna kauli anairudia rudia siku hizi ya kwamba "nikiondoka haya yatafanyika?" ni kama muvi inatengenzwa hivi!- Nafikri hata yeye anataka kuendelea ili afanye mambo yake
Kwa indicator ipi,umewahiona maendeleo kwenye mfumo Wa ujamaa?Asante Magufuli
Miaka 20 Tanzania itakuwa kama korea kusini
Magufuli ni mtu mwoga sana, hawezi ishi nje ya madaraka!! Muda ni hakimu mzuri!
Naona ulifurahi sana lkn mawazo yake Bado yanaitesa CHADEMA na Mabeberu wenuKuna raisi mstaafu mahali alisema angeiona birthday yake inayofuata. Hakuchukua raundi mungu akawa na kazi nae akamchukua.
Kwa indicator ipi,umewahiona maendeleo kwenye mfumo Wa ujamaa?
Mimi nasapoti hii idea ya miaka 20 zaidi kama mtu anafanya maendeleo huyo mwingine wa kazi gani ingekua kuna kelele za ufisadi sawa lakini hakuna malalamiko yoyote so aendelee tu
Pius Msekwa aliwahi kukemea hilo so sio kweli kwamba wastaafu wote hawajasema chochote, wapo waliodiriki. Labda tu swali, hivi Msekwa anae mtoto yeyote serikalini? Mwinyi akikaa kimya, inaelewekaViongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala, kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Ufafanuzi niliutoa tangu ile ile 2015 baada tuu ya jembe hili kukamata usukani.Hadi wewe mkuu??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Fafanua zaidi kwanini unaunga mkono hoja.
Umeongea point sana Mkuu
Si rahisi kumpata Magufuli mpya bora aendelee tu
Nakazia tu,Jamani kwani katiba inasemaje ? Ila naona katiba itabadilishwa 202......Ok kifo pekee ndo kitamtenganisha Magufuli na Urais. Wapinzani wenyewe waoga kweli. Ukuta tu waliingia mitini.
Hadi wewe mkuu??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Fafanua zaidi kwanini unaunga mkono hoja.
Ni moja kati ya utaratibu mbovu sana mkuu!Naunga mkono hoja.
P
Hitler kumbe alikuwa akubaliki kivile kwenye jamii sema alikuwa na support ya walalahoi ya kutosha kiasi kwamba political elites kutaka kumtumia kwa manufaa yao. Hitler anatumiwa sana as a case study kwa sababu mfumo wa dictatorship unaotumiwa kupoka madaraka mpaka leo yeye ndio muasisi wake na watu wanajiuliza ilikuwaje wakamwangalia tu wakati walikuwa na uwezo wa kumzuia.
Kuna 4 or 5 key players kwenye kupanda kwa hitler; kati yao wawili walikuwa vigogo wa siasa ambao walimtumia kumaliza wapinzani wao au kulipazana visasi. Hawa walimuona Hitler sio mainstream wanaweza mzima anytime wakishamtumia. Mwishowe kati yao mmoja aliishia kuuliwa na Hitler (Von Schleicher) na mwingine kutupwa jela (Von Papen) na wote hao walishashika nafasi ya chancellor za ujerumani kibongo ndio kama presidents tu.
Na kuna watu watatu dunia inasema wangesikilizwa mapema Hitler alikuwa azibitiwe kabla ya kufikia hatua za kupora madaraka: kuna “Hans Achim Litten” huyu alikuwa selfemployed lawyer ambae alikuwa anaburuzana mahakamani na NAZI wakati bado changa akionya wakubwa serikarini hili ni zimwi linalofugwa baadae kutakuwa hakuna wa kulizuia.
‘Joseph Hartinger’ akiwa kama deputy state prosecutor huyu alikuwa wa kwanza kumshtukia Himler (side kick wa Hitler) wakati bado mkuu wa polisi ya kuwa kesi zake na madai ya vifo kwenye camp hazina ushahidi tosha halafu mbona ni jews tu ndio anaoshitaki na wanaouwawa, akapuuzwa by the time anafika juu anakuta kina Himler washa muwahi kwa boss wake anazuiwa kupeleleza tena.
Na mwisho Edward Jung huyu warning yake imekuja late sana Hitler keshakuwa chanchellor lakini bado watu waliotakiwa ku act dint bother.
Nikiangalia mazingira yetu mambo yanafanana sana na jinsi Hitler alivyoweza twaa madaraka, I am all for Magufuli kwa miaka yake sita iliyobaki; hila it’s time people acted to constrain his action and motives huyu mtu hana mpango wa kutoka baada ya 2025.