johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amina mkuu!Hahhaaaaa mkuu Mbatizaji hivi hadi SUA na IFM wametoa gawio??? Nilisikia TIA tu nikajiuliza wanafanya biashara gani?
Maendeleo kweli hayana vyama. Dominika njema kwako pia na familia yako
Historia ni mwalimu mzuri tusije tukarudia makosa!Tumwache Mzee Mwinyi apumzike hata km aliteleza yaneshapita hayo, hatuwezi kuyarudisha nyuma
Ili mradi tumepata Rais Mzalendo kila kitu kitakaa sawa
Kumbe?!!Duh mkuu ina maana hujui nyerere alimkabidhi mwinyi nchi haliyakuwa imemshinda...? That we were in survival mode...? Nchi hata kujinunulia chakula ilikua tabu ndo iwe hayo mambo mengine..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mradi ulivurugwa na Jiji la Dsm......nadhani umenielewa.Mradi wa mabasi ya mwendo kasi ulianza wakati huu wa Magufuli, leta mrejesho wa kasi ya mradi.
Heshima yako mkuu umenena vyema. Mtoa mada inabidi atambue inawezekana kumsifia MTU pasipo kumchafua mwingine. Tanzania ya wakati wa Mwinyi ilikuwa imetoka vitani na serikali haikuwa na pesa muda huo.Duh mkuu ina maana hujui nyerere alimkabidhi mwinyi nchi haliyakuwa imemshinda...? That we were in survival mode...? Nchi hata kujinunulia chakula ilikua tabu ndo iwe hayo mambo mengine..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mradi umeshawashinda ule kila siku mabasi yanaungua hovyo, jana tena njia ya kimara kuna limoja limeunguaMradi wa mabasi ya mwendo kasi ulianza wakati huu wa Magufuli, leta mrejesho wa kasi ya mradi.
Mzee Ruksa alisema kazi iliyowashinda wastaafu watatu kwa miaka 30 huyu kaifanya kwa miaka mitatu tu!
Mkuu mambo gani yamerekebishwa, huduma ni mbovu mno abiria wanasubiri vituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita tupu, magari pia ni mabovu mno ,Huu mradi ulivurugwa na Jiji la Dsm......nadhani umenielewa.
Lakini mambo yamerekebishwa na serikali inategemea gawio soon!
Hahahaaaaa..... ...nilikuwa pale Hazina siku mzee Mwinyi anavunja baraza la mawaziri na mawaziri kurudi kwa miguu wengine taxi kufungasha mizigo ofisini!
Meya wa Jiji hafuatilii kabisa huu mradi!Mkuu mambo gani yamerekebishwa, huduma ni mbovu mno abiria wanasubiri vituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita tupu, magari pia ni mabovu mno ,
Kimsingi ni swala la muda tu kabla hatujauzika rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app