nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Mwambie huyo mtu kuwa Magufuli kaingia madarakani kakuta barabara za lami kila kona, kakuta viwanja vya ndege ndio maana ana nguvu ya kununua ndege, kakuta mradi wa mwendo kasi umeshaanza, kakuta mafungu ya kujenga kwenye makutano ya tazara na ubungo, kakuta daraja la kigamboni tayari, kakuta watanzania wanaishi maisha ya furaha na uhuru wa kuyasema mabaya ya viongozi.Heshima yako mkuu umenena vyema. Mtoa mada inabidi atambue inawezekana kumsifia MTU pasipo kumchafua mwingine. Tanzania ya wakati wa Mwinyi ilikuwa imetoka vitani na serikali haikuwa na pesa muda huo.
Pia economic system ya Mwinyi na economic system ya JPM ni vitu viwili tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia alikua sukari sh 1,800
Sent using Jamii Forums mobile app