johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Una uhakika bwashee?!!Mkuu,walikuwa wanatoa gawio,isipokuwa walikuwa hawatangazi kwenye vyombo vya habali,kwa sasa hivi turn ni mwendo wa MUBASHARA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika bwashee?!!Mkuu,walikuwa wanatoa gawio,isipokuwa walikuwa hawatangazi kwenye vyombo vya habali,kwa sasa hivi turn ni mwendo wa MUBASHARA.
Hahahaaaaa......... Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara
Kwenye mwendokasi shukuru sana awamu hii mana bila wao kwa hali yako ungekuwa unatembea kwa miguu wewe ungekuwa unaishia kuyaona kwenye taarifa ya habari.Mradi wa mabasi ya mwendo kasi ulianza wakati huu wa Magufuli, leta mrejesho wa kasi ya mradi.
Mwinyi hakufeli, angefeli JPM leo asingekuwa rais. Unasema maendeleo hayana vyama husemi kweli. Tumeona viongozi wakiwanyima watu huduma kwa sababu kura za CCM zilikuwa chache huko. Pia pale Arusha mkuu wa mkoa alijaribu kukwamisha ujenzi wa hospitali ya kisasa kwa sababu tu ni juhudi za Lema kutika chadema.Nafuatilia kwa makini jinsi taasisi za serikali zinavyozidi kujitokeza kutoa gawio (dividends) kwa serikali.
Nimeona hadi vyuo kama SUA, IFM nk vikitoa gawio sambamba na wakala mbalimbali za serikali na hata vitega uchumi vilivyoko jeshini na magereza mfano Suma JKT.
Natafakari tu endapo Rais Magufuli ndio angekuwa aliachiwa yale maviwanda kama Kiltex, Sunguratex, Tbl,Bora nk....nk....yaani ile Pugu road yote vilikuwa viwanda vya serikali, hakika naamini leo tungekuwa mbali sana.
Najiuliza tu mstaafu Mwinyi alikwama wapi hadi viwanda na yale mashirika makubwa makubwa akina NBC NIC, THB nk yakafilisika?
Nawatakia Dominika njema
Maendeleo hayana vyama!
Huu mradi ulivurugwa na Jiji la Dsm......nadhani umenielewa.
Lakini mambo yamerekebishwa na serikali inategemea gawio soon!
Kwenye mwendokasi shukuru sana awamu hii mana bila wao kwa hali yako ungekuwa unatembea kwa miguu wewe ungekuwa unaishia kuyaona kwenye taarifa ya habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ipi mkuu wakati mmepata Uhuru without arm struggle bali ni constitution or negotions.Heshima yako mkuu umenena vyema. Mtoa mada inabidi atambue inawezekana kumsifia MTU pasipo kumchafua mwingine. Tanzania ya wakati wa Mwinyi ilikuwa imetoka vitani na serikali haikuwa na pesa muda huo.
Pia economic system ya Mwinyi na economic system ya JPM ni vitu viwili tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumwache Mzee Mwinyi apumzike hata km aliteleza yaneshapita hayo, hatuwezi kuyarudisha nyuma
Ili mradi tumepata Rais Mzalendo kila kitu kitakaa sawa
Duh mkuu ina maana hujui nyerere alimkabidhi mwinyi nchi haliyakuwa imemshinda...? That we were in survival mode...? Nchi hata kujinunulia chakula ilikua tabu ndo iwe hayo mambo mengine..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kipindi hicho hakuwa na option. Wananchi aliwakuta masikini na pesa hawana, kodi asingeweza kukusanya kikamilifu. IMF na jumuiya za kifedha zilikataa kuikopesha nchi kutokana na sera za nchi za wakati huo.Sasa ikawa ili kupata hela ya kununua chakula lazima tu uze na kuuwa baadhi ya viwanda vyetu, so as to maintain and manage our survival mode.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe?!!
Vita vya kagera.Vita ipi mkuu wakati mmepata Uhuru without arm struggle bali ni constitution or negotions.
Sent using Jamii Forums mobile app
nasikia udat safari hi watatoa gawio kubwa sanaHuu mradi ulivurugwa na Jiji la Dsm......nadhani umenielewa.
Lakini mambo yamerekebishwa na serikali inategemea gawio soon!
Mchumi heshima yako.Mfumo wa uchumi wa kimashariki (Kijamaa) kupitia Azimio la Arusha uliopora viwanda na Mali nyingi za matajiri na serikali kujimilikisha na kuviendesha.
Bahati mbaya viliendeshwa kwa kupangiwa bei na serikali bila kujali gharama za uzalishaji (Production cost) Vingi vilifeli mikononi mwa Nyerere mwenyewe! Na ilibidi vipewe ruzuku toka kwenye kodi.
Njaa ya miaka ya mwisho Sabini na Vita ya Uganda na Tz vilifirisi kabisa nchi. Nyerere akaenda kwa mabeberu kuomba mkopo
Walimpa masharti yafuatayo;
i. Kujiondoa serikali kuzalisha,kuagiza na kuingiza bidhaa. Iwe inakusanya Kodi tu.
ii.Kuwepo na soko huria. Bei za bidhaa zitokane na ushindani na mahitaji ya soko. (Serikali ijiondoe kupanga bei)
iii. Ashushe thamani ya shilingi
iv. Kuwepo uchangiaji katika huduma za kijamii baina ya serikali na wananchi ( Cost sharing) ili kuipunguzia mzigo serikali.
vi.Apunguze idadi ya watumishi wa umma na mishahara yao.
vii.Abinafsishe viwanda alivyopora na vile alivyopora.
Nyerere aliyakataa masharti huku akinukuliwa kwamba anayedhani Tz itayakubali masharti hayo ni mwendazimu akiwa ziarani Uingereza (Scotland?). Mwisho alienda Mara ya pili mezani IMF na WB wakasimama kwenye masharti yao.
Nchi ilikuwa taabani na Nyerere ikabidi ang'atuke kulinda msimamo na heshima yake.
Mwinyi akachukua nchi na kutekeleza masharti.
Unaelewa maana ya ?!Hivi kumbe ulituhumu bila utafiti?
Mnayemwita mzalendo anatembelea nyota za Ben na Mkwere.
Amekuta hazina inacheka, huku akiishiwa anawakwida wafanyabiashara wakiri kuwa wahujumu uchumi walipe au wakane wafie gerezani.
Kuna wakati utabadilisha ID kwa kuogopa sifa hizi.
Kwani huyu mnayemsifia mtayajua madhara ya maamuzi yake baadae sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka......meya Mwita amekusikia!Ten
nasikia udat safari hi watatoa gawio kubwa sana
Wewe lazima utakua ni mkatoliki viwanda mashirika ya umma yalikufa enzi za nyerere hali ikawa mbaya sana kila kitu foleni.Nafuatilia kwa makini jinsi taasisi za serikali zinavyozidi kujitokeza kutoa gawio (dividends) kwa serikali.
Nimeona hadi vyuo kama SUA, IFM nk vikitoa gawio sambamba na wakala mbalimbali za serikali na hata vitega uchumi vilivyoko jeshini na magereza mfano Suma JKT.
Natafakari tu endapo Rais Magufuli ndio angekuwa aliachiwa yale maviwanda kama Kiltex, Sunguratex, Tbl,Bora nk....nk....yaani ile Pugu road yote vilikuwa viwanda vya serikali, hakika naamini leo tungekuwa mbali sana.
Najiuliza tu mstaafu Mwinyi alikwama wapi hadi viwanda na yale mashirika makubwa makubwa akina NBC NIC, THB nk yakafilisika?
Nawatakia Dominika njema
Maendeleo hayana vyama!
ChangamotoHapa tunaangalia changamoto.......mambo ya kuchafuana ni ya kwako wewe na ufahamu wako!