Kwa kasi hii ya Rais Magufuli nashindwa kuelewa mzee Mwinyi alifeli wapi hadi viwanda na mashirika ya umma yakafa!

Huu ndio ukweli wa wazi kabisa ambao hausemwi ilhali ipo wazi nyerere anatakiwa kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi, taifa na watu wake kwa sera za hovyo.
 
Mzee Ruksa alisema kazi iliyowashinda wastaafu watatu kwa miaka 30 huyu kaifanya kwa miaka mitatu tu!

Watu wa Pwani hata mtu alitukosea let say kakukanyaga kwenye daladala tunautoa mguu kwa staha zote halafu sie ndio tunafuta vumbi kwenye kiatu cha aliekukanyaga then tunamuomba atuwie radhi atusamehe ni kughafilika tu
 
Halfu kufariki kwa MAVIWANDA mhusika siyo Mwinyi!!!!! Ama hujui ama unamsingizia.Kwa taarifa TU Mwinyi alitukuta tukitembea miguu chini,hatuna nguo,tunalima lakini chakula choooote kinabebwa na ushirika,halafu sisi tunauziwa ka kilo ka unga mbayaaa wa njano almaarufu unga wa yanga! Tunafua kwa kutumia ARITA NA MKONGE ndo sabuni!
Mwinyi AKATUOKOA kutoka katika madhila hayooo akaamua kuruhusu mitumba,viatu japo vya matairi aka Mtanje kuko au katambuga!
Mkuu Kama ulikuwa hujui Mwinyi ndiye aliye ruhusu hata TV na deki baadae tv stations.
"Who the cap fit let him wear it."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…