Mo cola oyeee
Jibu unalo mkuu..!Wataka kusema?
Msimamo wetu upo wazi kabisa"hatuwezi kumpa timu mwekezaji mmoja"timu hii ni ya wananchi,wawekezaji ni wananchi wenyewe.Hebu tujadiri hili swala GSM naona anamwaga sana pesa yanga kwenye kununua wachezaji na hata motisha timu kila inaposhinda je ni kwa kuwa ni mdhamini ama kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia?
Nakumbuka GSM kuna kipindi alitaka kuinunua African Lyon bahati mbaya ikashuka daraja sasa naona nguvu amepeleka yanga au anategemea kuwa mwezi wa 4 pindi yanga wakianza ule mchakato wa mabadiriko basi yeye apewe kipaumbele?
Je ataweza kuwa bora zaidi ya manji?
GSM anafaidika Sana,Tena Sana tu,uwepo wake kwa mabingwa wa kihistoria,kunamfanya brand ya Gsm kutajwa Sana,Manara naye tunamtimua kutangaza bidhaa za GSM .Unafikiri kuna Mwanaume ana honga bure bure bila ya kuwa na matarajio yoyote?!
Hebu tujadiri hili swala GSM naona anamwaga sana pesa yanga kwenye kununua wachezaji na hata motisha timu kila inaposhinda je ni kwa kuwa ni mdhamini ama kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia?