aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Hebu tujadiri hili swala GSM naona anamwaga sana pesa yanga kwenye kununua wachezaji na hata motisha timu kila inaposhinda je ni kwa kuwa ni mdhamini ama kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia?
Nakumbuka GSM kuna kipindi alitaka kuinunua African Lyon bahati mbaya ikashuka daraja sasa naona nguvu amepeleka yanga au anategemea kuwa mwezi wa 4 pindi yanga wakianza ule mchakato wa mabadiriko basi yeye apewe kipaumbele?
Je ataweza kuwa bora zaidi ya manji?