Kwa kasi hii ya uwekezaji, je GSM anaitaka Yanga SC?

Kwa kasi hii ya uwekezaji, je GSM anaitaka Yanga SC?

Amuulize Manji kwanza,Yanga shukrani kwao sio kipaumbele wanachama wa Yanga na Mashabiki ukitaka wakusifie walipie kadi na kiingilio Uwanjani,Manji kaondoka anaidai Yanga na hatalipwa kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umekalia Banana ukiwa unaandika huu utumbo,wale waliokuwa wanaosha gari la Manji pale Central ni Mashabiki wa Mikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani GSM anatengeneza jezi anasahao miamvuli hadi kocha anaibuka na mwanvuli wa milan? aongeze wigo wa bidhaa zenye rangi na nembo ya chama mashabiki watanunua na kuongeza kipato kwa timu
 
Back
Top Bottom