Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umekalia Banana ukiwa unaandika huu utumbo,wale waliokuwa wanaosha gari la Manji pale Central ni Mashabiki wa Mikia?Amuulize Manji kwanza,Yanga shukrani kwao sio kipaumbele wanachama wa Yanga na Mashabiki ukitaka wakusifie walipie kadi na kiingilio Uwanjani,Manji kaondoka anaidai Yanga na hatalipwa kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app