Amuulize Manji kwanza,Yanga shukrani kwao sio kipaumbele wanachama wa Yanga na Mashabiki ukitaka wakusifie walipie kadi na kiingilio Uwanjani,Manji kaondoka anaidai Yanga na hatalipwa kamwe
Yaani GSM anatengeneza jezi anasahao miamvuli hadi kocha anaibuka na mwanvuli wa milan? aongeze wigo wa bidhaa zenye rangi na nembo ya chama mashabiki watanunua na kuongeza kipato kwa timu