Kwa Kasi iliyopo ya viongozi kwenda Kwa wataalam huko Tanga mamlaka za uteuzi zisilalamikiwe bali tuziombee

Tumelaaniwa hadi mvua zimegoma shauri ya ushirikina na wizi ndani ya nchi...
 
Watu wanamkaanga Katibu Mkuu Kiongozi na Mama kwenye chungu.Hii shughuli Bi.Jenista atakuwa anaelewa kwa upana!
 
Wakati ule wa jiwe, mafundi wake walikuwa kigoma, akawa anajifanya kwenda Chato mara nyingi wakati anaingia madarakani, halafu usiku convoy ya gari chache inachapa mwendo kwenda kigoma kwa mtaalamu,inarudi alfajiri
Maisha ni vita Mura jikombe ukomborewe!!!
 
Wale wapiga deal za hela ya ndege ya cargo, hawajajaa huko Tanga kweli, maana sijasikia mtu kajiuzulu, Mkuu wa nchi kasema kwa ukali mkubwa sana watupishe, yaani waondoke, yaani wajiuzulu, yaani waachie positions zao kwa hiari, sijasikia hata mmoja kaachia ngazi, au ndio wako huko Tanga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…