Aisee, sijui kuhusu Hydrogen ila gari la umeme lina mzuka wake. Sijawahi kuendesha, ila kuna week nilikua na Prius zile za 2010 ambayo ni Hybrid.Mwanangu Mad Max sijui unapendea nini haya magari!! Japokuwa ulimwenguni unaenda kwenye EV's kwangu Mimi bado natamani combustion engine ziendelee kutengenezwa..
haya magari ya UMEME Kwa maisha yetu ya kiafrica naona kama bado sio rafiki kwetu, ndiyo maana kampuni ya Toyota wamependekeza Kwa manufacturers wawekeze kwenye hydrogen fuel( eco friendly) pia ni zero emissions kama UMEME Tu
Technology ya hydrogen fuel ni kama ilivyo petroleum na diesel engine.... Najua baada ya miaka 10 mbele Tanzania tutakuwa tunatumia magari ya kichina kwasababu ya bei zake chini pia serikali Yao wamedhamiria kuteka soko lote la Asia, Latin America na Africa Kwa kuingiza magari yao
Dunia ndiko inakoelekea huku hatuna ujanja wa kukataa magari ya UMEME Acha tuendelee kutafuta pesa Tu ya kununuaAisee, sijui kuhusu Hydrogen ila gari la umeme lina mzuka wake. Sijawahi kuendesha, ila kuna week nilikua na Prius zile za 2010 ambayo ni Hybrid.
Sasa ukiiwasha ukawa unaendesha slow hafu ukaweka EV mode aisee inakuambia Ready ila engine iko OFF pale ni full umeme. Ile experience ilinibadirisha kabisa issue ya ICE kabisa. Yaani gari inaenda ova inavutwa hausikii kelele no sauti ya exhaust yaani kimyaa.
Nikasema hapa sasa Tesla itakuaje? Imagine unaendesha Model 3 gari ndani ilivyo, unachaji chuma inaenda kilometa 500+ hamna kubadirisha engine oil wala gearbox oil sijui.
View attachment 2936143
Pia hivi vidude ndani viko plain simple hadi raha. Sipendi magari yapo complicated ndani ova cockpit ya F22 Raptor.
Tatizo investment hatutaki wengi. Mtu ukasome kazo course ya kudeal na hybrid na EV hafu urudi utawashika sana. Mfano sahivi nishaziona sana Prius, Aqua, Honda Fit na Insight ambazo ni HybridKuna pesa nyingi ikitokea vijana kwenda kusoma na kuelewa mifumo ya hizi gari za umeme na hizi hybrid.
Mwanzoni kabla hata mafundi wengi hawajazinduka lazima upige vibunda vya kutosha.
Aisee. I can imagine. Nina 0 exp na EV.Aisee, sijui kuhusu Hydrogen ila gari la umeme lina mzuka wake. Sijawahi kuendesha, ila kuna week nilikua na Prius zile za 2010 ambayo ni Hybrid.
Sasa ukiiwasha ukawa unaendesha slow hafu ukaweka EV mode aisee inakuambia Ready ila engine iko OFF pale ni full umeme. Ile experience ilinibadirisha kabisa issue ya ICE kabisa. Yaani gari inaenda ova inavutwa hausikii kelele no sauti ya exhaust yaani kimyaa.
Nikasema hapa sasa Tesla itakuaje? Imagine unaendesha Model 3 gari ndani ilivyo, unachaji chuma inaenda kilometa 500+ hamna kubadirisha engine oil wala gearbox oil sijui.
View attachment 2936143
Pia hivi vidude ndani viko plain simple hadi raha. Sipendi magari yapo complicated ndani ova cockpit ya F22 Raptor.
Hahaha hizi za engine bado zipo zipo sana. Ila kuna baadhi ya nchi wana mikakati kufika 2030 hakuna gari la engine kuuzwa au kua imported. Kwahiyo yaliyopo yatabaki ivo ivo hadi yachakae.Aisee. I can imagine. Nina 0 exp na EV.
Sijui itakuaje pale mji mzima hakuna sauti za gari ila gari zinapita, na hawa ndugu zetu wa boda wakiletewa za umeme ndo itakuwa kuvunjana bila makelele maana hutamsikia akija huko na maspeed.
Upo Sahihi kabisaa!!!!Kuna pesa nyingi ikitokea vijana kwenda kusoma na kuelewa mifumo ya hizi gari za umeme na hizi hybrid.
Mwanzoni kabla hata mafundi wengi hawajazinduka lazima upige vibunda vya kutosha.
Ni sahihi mkuu, mafundi wakiji update ku deal na hizo motor watapiga marundo sana kabla wajuaji hawajaingilia kati, ni kazi ambayo mtu anakuja na gari unamuambia bei huku umeketi kwenye kiti na umeweka miguu juu ya meza huku unabofya na simu.Tatizo investment hatutaki wengi. Mtu ukasome kazo course ya kudeal na hybrid na EV hafu urudi utawashika sana. Mfano sahivi nishaziona sana Prius, Aqua, Honda Fit na Insight ambazo ni Hybrid
Watuletee huku Africa hayo magari maana 20230 karibia nchi zote za ulaya watakuwa wanatumia EV'sHahaha hizi za engine bado zipo zipo sana. Ila kuna baadhi ya nchi wana mikakati kufika 2030 hakuna gari la engine kuuzwa au kua imported. Kwahiyo yaliyopo yatabaki ivo ivo hadi yachakae.
Pia kuna mahala nimesoma baadhi ya nchi Ulaya magari ya umeme yanapewa offa mfano free parking au nusu Bei, kwenye vivuko (mfano Kigamboni) wanapita bure au kwa discount, wakati wenye engine wanazidi ongezewa Makodi.
Mchawi bei ya uendeshaji. Ukikaa na gari la Engine miaka mitatu na mwenzako wa umeme, kwa matumizi yanayokaribia kuendana, Wa gari la Umeme anasave saaaaaaaana.Watuletee huku Africa hayo magari maana 2030 karibia nchi zote za ulaya watakuwa wanatumia EV's
Nahisi combustion engine yatakuwa cheap zaidi 2030 maana hayatakuwa na soko zaidi ya huku Africa
Tuanze na gas cng cars ,magari ya umeme Kwa Tanzania hayafai kwanza gharama pili cost ya replacement ya betri mtohani .Sababu hiyo betri ni kama ya simu tu Ina expire baada ya muda kubadili betri mpya Bei yake karibu nusu ya hei ya kunumua hiyo gari ya umemeMchina anarahisisha maisha
Kiboko yake betri ikiisha muda Bei ya ku replace itapita Kwa mbali sana Sababu ni karibu nusu ya Bei ya Kununua gari la umemeMchawi bei ya uendeshaji. Ukikaa na gari la Engine miaka mitatu na mwenzako wa umeme, kwa matumizi yanayokaribia kuendana, Wa gari la Umeme anasave saaaaaaaana.
Hapo nimekuelewa kwenye issue ya mazingira. Ila mchawi imebaki muamko wa Makampuni katika utengezaji wa hayo magari. Mfano nilisoma makala flani hadi 2023 magari ya Hydrogen (FCEVs) yalikua Elfu 70 tu barabarani.Hydrogen is one of the most abundant element and is the future of energy in transportation.
EV is just another scam like others..ukifuatilia ev vehicles Zina uharibifu zaidi wamazingira kwa kupima vyanzo vya betri zake, disposal na upatikanaji wa madini yanayotumika katika uundani wake na source ya umeme unaotumika.
Toyota hili wamelitambua mapema..
Nchi zinazoongozwa na watu wasiotegemea magari kukusanya kodi. Hapo lazima watu mtaachana na petrdiselHahaha hizi za engine bado zipo zipo sana. Ila kuna baadhi ya nchi wana mikakati kufika 2030 hakuna gari la engine kuuzwa au kua imported. Kwahiyo yaliyopo yatabaki ivo ivo hadi yachakae.
Pia kuna mahala nimesoma baadhi ya nchi Ulaya magari ya umeme yanapewa offa mfano free parking au nusu Bei, kwenye vivuko (mfano Kigamboni) wanapita bure au kwa discount, wakati wenye engine wanazidi ongezewa Makodi.
Mchina ka copy Kwa testla kila kitu aided😂Aisee, sijui kuhusu Hydrogen ila gari la umeme lina mzuka wake. Sijawahi kuendesha, ila kuna week nilikua na Prius zile za 2010 ambayo ni Hybrid.