Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati nahisi TRA hawataki watu wawe na vitu boraYaani utapigwa kodi hadi utachanganyikiwa.
Duh! Wanapewa na wapwa zao kutoka Zizi Mzaziwashaanza kujiongeza mkuu tayari huku kwetu washamiliki ardhi ya ekari ml8!
Rais ashakopa Korea kusini kitu utakachoona ni kampuni za kutengeneza mabetri za LG Energy Solution, SK On na Samsung SDI zikichukua madini kirahisi. Mi nilidhani hiyo ziara serikali ingewashawishi hizo kampuni kujenge Battery manufacturing plants Kwa njia ya ubia Ila Niliona mambo ya Sanaa na PhD Tu. Tuna Safari ndefu Sana.Hakuna ubishi, Dunia inabadili mfumo mzima wa usafiri
Sisi badala ya kusubiri naona mama badala ya kwenda na wasanii nje angeenda na mafundi magari
Ila akili zetu hata shetani anatushangaa
Basi tufungue hata kiwanda cha kutengeneza batteries kwa hizo safari mbona anaweza
Hivi nani anawashauri ?
Unajua kwanini wengi wanashindwa kuwekeza kwetu?Rais ashakopa Korea kusini kitu utakachoona ni kampuni za kutengeneza mabetri za LG Energy Solution, SK On na Samsung SDI zikichukua madini kirahisi. Mi nilidhani hiyo ziara serikali ingewashawishi hizo kampuni kujenge Battery manufacturing plants Kwa njia ya ubia Ila Niliona mambo ya Sanaa na PhD Tu. Tuna Safari ndefu Sana.