Sure mkuu. Kwa nchi kama Tanzania ambao tumezoea kununua magari used itatusumbua ila ukinunua jipya au ambalo battery yake imebadirishwa kabla haujauziwa nadhani itakua fresh.Kiboko yake betri ikiisha muda Bei ya ku replace itapita Kwa mbali sana Sababu ni karibu nusu ya Bei ya Kununua gari la umeme
Issue Iko kwenye ku replace battery ikiisha hapo mziki ndio upoYatakuja used bei cheap. Sahivi Beforward naona Tesla kwa $23,000/=
Ni kweli lakini gari una charge tu inakwenda hakuna cha kuweka mafuta hio huoni kimahesabu ni nafuu sana, halafu lifespan ya battery si kwamba kila mwaka unabadili, ukifanya mahesabu utagundua gari ya mafuta ina gharama kiuendeshaji.Kiboko yake betri ikiisha muda Bei ya ku replace itapita Kwa mbali sana Sababu ni karibu nusu ya Bei ya Kununua gari la umeme
Betri full inaenda kilomita 400 ikifika hapo inabidi utafute kiti kabisa ukae kituo Cha umeme usubiri masaa betri ichaji sio chini ya masaa matatu hadi sita kutegenea na kituo Cha kuchaji Wana charger aina Gani ndio uendelee na safariNi kweli lakini gari una charge tu inakwenda hakuna cha kuweka mafuta hio huoni kimahesabu ni nafuu sana, halafu lifespan ya battery si kwamba kila mwaka unabadili, ukifanya mahesabu utagundua gari ya mafuta ina gharama kiuendeshaji.
Mfano mtu anayeendesha Fortuner au V8 vipi akitumia SUV ya umeme, pesa kiasi gani..
ya magari kwenye hii issue ya recharge ndo sehemu ya tafakuri, ila miaka kama 20 mbele natumaini tech iwe imeadvance zaidiBetri full inaenda kilomita 400 ikifika hapo inabidi utafute kiti kabisa ukae kituo Cha umeme usubiri masaa betri ichaji sio chini ya masaa matatu hadi sita kutegenea na kituo Cha kuchaji Wana charger aina Gani ndio uendelee na safari
Inapoteza muda sana njiani Kwa safari ndefu kusimama muda mrefu kuchaji betri kuliko kujaza Mafuta au Gesi ya Cng na uwe na bahati hicho kituo unajaza umeme wawe na chaja nyingi na kisiwe na foleni .Vinginevyo safari tu ya Dar Arusha waweza tumia Sasa 18 au ukafika alfajiri wakatonuliondojsvdarvsaa 12 asubuhi
I hope batteries gonna be cheaper. sio ununue used $5000 ije kufa battery uambiwe $3000.Yatakuja used bei cheap. Sahivi Beforward naona Tesla kwa $23,000/=
Lakini hizo km 400 kwa gari ya mafuta ni bei gani?Betri full inaenda kilomita 400 ikifika hapo inabidi utafute kiti kabisa ukae kituo Cha umeme usubiri masaa betri ichaji sio chini ya masaa matatu hadi sita kutegenea na kituo Cha kuchaji Wana charger aina Gani ndio uendelee na safari
Inapoteza muda sana njiani Kwa safari ndefu kusimama muda mrefu kuchaji betri kuliko kujaza Mafuta au Gesi ya Cng na uwe na bahati hicho kituo unajaza umeme wawe na chaja nyingi na kisiwe na foleni .Vinginevyo safari tu ya Dar Arusha waweza tumia Sasa 18 au ukafika alfajiri wakatonuliondojsvdarvsaa 12 asubuhi
With time bei zitashuka.Issue Iko kwenye ku replace battery ikiisha hapo mziki ndio upo
Electric car battery replacement costs outside of warranty can range from $6,500 to $20,000
Sure umeongea vitu vya msingi sana. Mfano unatoka Dar to Mbeya. Karibia Kilometa 1000 na gari lako lina range ya 400 kilometa, inabidi angalau uchaji njiani mfano unatoka Dar to Moro unavobreak unachaji.Betri full inaenda kilomita 400 ikifika hapo inabidi utafute kiti kabisa ukae kituo Cha umeme usubiri masaa betri ichaji sio chini ya masaa matatu hadi sita kutegenea na kituo Cha kuchaji Wana charger aina Gani ndio uendelee na safari
Inapoteza muda sana njiani Kwa safari ndefu kusimama muda mrefu kuchaji betri kuliko kujaza Mafuta au Gesi ya Cng na uwe na bahati hicho kituo unajaza umeme wawe na chaja nyingi na kisiwe na foleni .Vinginevyo safari tu ya Dar Arusha waweza tumia Sasa 18 au ukafika alfajiri wakatonuliondojsvdarvsaa 12 asubuhi
Kazi ipo i thought zime improve kwenye charging.Betri full inaenda kilomita 400 ikifika hapo inabidi utafute kiti kabisa ukae kituo Cha umeme usubiri masaa betri ichaji sio chini ya masaa matatu hadi sita kutegenea na kituo Cha kuchaji Wana charger aina Gani ndio uendelee na safari
Inapoteza muda sana njiani Kwa safari ndefu kusimama muda mrefu kuchaji betri kuliko kujaza Mafuta au Gesi ya Cng na uwe na bahati hicho kituo unajaza umeme wawe na chaja nyingi na kisiwe na foleni .Vinginevyo safari tu ya Dar Arusha waweza tumia Sasa 18 au ukafika alfajiri wakatonuliondojsvdarvsaa 12 asubuhi
Battery ya EV ni expensive sana. Mfano Model 3 Tesla ni $15,000 hivi. Ila tukumbuke sio rahisi battery kufa under normal driving conditions.I hope batteries gonna be cheaper. sio ununue used $5000 ije kufa battery uambiwe $3000.
Wewe utakaenunua used ya 7-10yrs ndio itakufia. Ukinunua mpya una uhakika wa kutumia muda mrefu.Battery ya EV ni expensive sana. Mfano Model 3 Tesla ni $15,000 hivi. Ila tukumbuke sio rahisi battery kufa under normal driving conditions.
Pia EV tusiangalie Tesla tu, kuna VW,BMW na nyingine nyingi tu bei nzuri.Battery ya EV ni expensive sana. Mfano Model 3 Tesla ni $15,000 hivi. Ila tukumbuke sio rahisi battery kufa under normal driving conditions.
Niliona Porsche Panamera full EV aisee niliipenda, inakimbia balaa halafu kimya.Mpya tunanunua hizi za Kichina mfano ilo la $13,000 ni kama Tsh Mill 33. Sema TRA wakisikia umetoa Mill 33 wanatataka nao Mil 30.
Hii ndio ile milango inafunguka kama mbawa za ndege?Hapo kweli Mzee. Sema dah bro ile Model 3 aisee hadi uwa naiota.
Kuna docuseries nilikuwa natazama kuna tajiri alitoa sharti akifika lazima apokelewa na Tesla, ilikuja kama hii.Zinaitwa Falcon wings, zipo kwenye Model X. Unyama sana ule.
View attachment 2936473
Tatizo la X ni Crossover SUV na mimi nilirogwa na Sedans.