Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni ya hovyo snHii katiba ina hatari hii!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ya hovyo snHii katiba ina hatari hii!!
HUO NI UJINGA WA MAWAZO NI SEHEMU GANI YA HII KATIBA INAMRUHUSU RAIS KUUZA SEHEMU YA NCHI? ACHENI KUKURUPUKANilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro.
Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni mali ya watanzania wote. Kwa mujibu wa katiba ardhi yote iko chini ya rais".
Kwahiyo basi, katiba imempa mhe rais madaraka na mamlaka ya kuamua chochote juu ardhi ya eneo fulani kama ikodishae, iuzwe, ama igawiwe bure kwa wananchi, marafiki wa nje n.k. Hii ni hatari.
Hatuombei atakuja rais kichaa atauza ama kutoa kama zawadi ya birthday ardhi yote ya mkoa fulani kwa nchi ama makampuni ya nje. Na Wala hatoshitakiwa.
Tupate katiba mpya ndugu zangu watanzania.
Shukran MkuuComment yako ifanyiwe lamination na kuwekwa kwenye bango kubwa kama la mume wa Zamaradi
HAIJAMRUHUSU ILA PIA HAIJAMUONYA KUWA AKIAMUA KUUZA ITAMUWAJIBISHA VIPI HIVYO KATIBA YA SASA INATEGEMEA HURUMA YA RAIS ILA AKIAMUA HATUNA LA KUMFANYA... UKUBALI UKATAE KATIBA MPYA NA BORA HUU NDIYO WAKATI WAKEHUO NI UJINGA WA MAWAZO NI SEHEMU GANI YA HII KATIBA INAMRUHUSU RAIS KUUZA SEHEMU YA NCHI? ACHENI KUKURUPUKA
hakuna umuhimu wa katiba mpya wakati hii ya sasa hamuijui sasa katiba yooote hii kweli imuache mtu anayeiba mali ya umma? siyo kweli hebu muijue kwanza hii iliyopo halafu ndiyo mseme ni mahali gani pabadirishweHAIJAMRUHUSU ILA PIA HAIJAMUONYA KUWA AKIAMUA KUUZA ITAMUWAJIBISHA VIPI HIVYO KATIBA YA SASA INATEGEMEA HURUMA YA RAIS ILA AKIAMUA HATUNA LA KUMFANYA... UKUBALI UKATAE KATIBA MPYA NA BORA HUU NDIYO WAKATI WAKE
Bado upo usingizini endelea kulala ukiamka tushafikia lengo katiba mpya na Bora ni muhimu kwa TANZANIA ya Sasa na ya baadae mwenye akili ataelewa ila mbumbumbu wataendelea kusumbua wenginehakuna umuhimu wa katiba mpya wakati hii ya sasa hamuijui sasa katiba yooote hii kweli imuache mtu anayeiba mali ya umma? siyo kweli hebu muijue kwanza hii iliyopo halafu ndiyo mseme ni mahali gani pabadirishwe
Hili ni kati wa mabandiko dhaifu sana humu JF kwa siku za karibuni!Nilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro.
Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni mali ya watanzania wote. Kwa mujibu wa katiba ardhi yote iko chini ya rais".
Kwahiyo basi, katiba imempa mhe rais madaraka na mamlaka ya kuamua chochote juu ardhi ya eneo fulani kama ikodishae, iuzwe, ama igawiwe bure kwa wananchi, marafiki wa nje n.k. Hii ni hatari.
Hatuombei atakuja rais kichaa atauza ama kutoa kama zawadi ya birthday ardhi yote ya mkoa fulani kwa nchi ama makampuni ya nje. Na Wala hatoshitakiwa.
Tupate katiba mpya ndugu zangu watanzania.
HUO NI UJINGA WA MAWAZO NI SEHEMU GANI YA HII KATIBA INAMRUHUSU RAIS KUUZA SEHEMU YA NCHI? ACHENI KUKURUPUKA