Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu


Hii ni awamu ya sita. Chungulia nje uone bendera ziko full milingoti!

Awamu ya tano imekwisha wajameni. Msitucheleweshe!
 
Ndugai ana stress za ndoa na ugonjwa angetuua yule andunje.Mungu mkubwa
 
Unateseka ukiwa wapi mkuu
 
Msu **** vipi mbona povu jingi sana. Hebu kunywa maji kidogo upunguze presha.
Kubalini tu kuwa jiwe halipo; sasa hivi nchi ina furaha na amani tele

Kuku maji nyie
 
huyu jamaa wa Kongwa angechukua hata umakamu tungemalizwa na bakora
Bunge tu kaliharibu kafukuza wapinzani kwa matakwa yake
kwa Mama safari aruhusu Tume huru kwani wataumbuka wengi
 

Ikiwa tutaanza kufuata ndoto basi kama mali za asili zilizopo tanzania zingekuwa nchi nyengine mshahara wa chini kabisa ungekuwa dola 3,000. yaani mshahara wa mlinzi na mfagiaji vyoo.
 
Sageni chupa mnywe, Samia ndo Rais hadi mwaka 2045, wasukuma mtapata tabu sana ,
 
Ndugai.........????
 
Wewe mataga kuwa na imani na mwana ccm mwenzako! Sasa wewe ukikosa imani, itakuwaje kwetu sisi ambao hatujawahi kamwe kuielewa ccm na viongozi wake?
Hahaha. Watani tunacheza wenyewe safari hii, nyie nunue pop corn tu, Tanzania ni nchi ya chama kimoja, kumsaidia mama ni kumkosoa sio kumshangilia. Halafu eti anataka kurudisha misamaha ya kodi!! Basi na wafanyakazi wasamehewe kodi kama ndio hivo
 
Tungeongeza ubani naye angetwaliwa hata wiki asingemaliza
 
kama uliishi vizuri wewe kwa mfumo uliokuwepo kaa pembeni kidogo yaani mambo hayaendi biashara tumefunga halafu unataka tusibadilike... Agayaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…