Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

Ajira zetu zipi ?
 
Unalialia! muungu wenu kakufilia mbali mlifikri atadumu milele?
 
Vumilia we sio wa kwanza kuteseka mara nyingi watoto wa marehemu inakuaga hivo.
 
Kwa hapa uzi ni tayari au?
 
MATAGA poli / SUKUMA GANG,, mmerisishwa tabia ya kudharau wanawake na Mtupoli. Amuamini na amumtaki mama Samia.. Usukuma ni ugonjwa mbaya sana.
Sie tushaanua matanga, Samia ndio Rais tunataka afuate katiba tu.
 

Pole sana, munateseka sana kwa kweli mpaka munatilisha huruma.
 
Kwasasa hakuna mwanasiasa ninachukia mienendo yake kama spwika!!
Anahoja hovyo kuliko mbunge yeyote,anavinyongo,anajeuri,anakisirani nk. Amefanya sitamani kuangalia binge kabisa
  • kafuta bunge live
  • anatamani bodaboda wapigwe fimbo kama enzi za utumwa,hajui wapo na watu wazima.
  • anatamani walimu wafundishe masomo matatu,Moja tuu ziro kibao matatu je?...
  • anafukuza na kuingiza ma mp atakavyo kiubabe.
  • alimpiga MTU kwenye kugombea nusura afe na anajisifugi.
  • alishindwa kumtetea kwalolote mp alopigwa risasi akiwa kazini,sana akamvua ubunge
  • Tofauti na maspwika wengine niliowahi kuwafahamu,huyu kwangu ndiyo the poorest kama sio worse one!!
 
Huishi kuwaza ujinga?????
 
Yani wewe hii hali haitaokutoka nafikiri mpk hata mwaka.

Ahahhahahahhahahahhahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…