Duuu, bado una uisilamu wa kiazamani ile mbaya. Huo uisilamu wa kuona wakristu wanapendelewa ulikuwa wa zamani mno.Soma uelewe kisha uje uzungumze
Kanisa ni miongoni mwa agents of colonialism Afrika wakiwa na gwanda la missionaries wakiwa sambamba na traders and explorers....
Kitu kisicho na haki hakidumu
Kunabjamaa hapa ameniuliza wewe pia unazunguza ukiwa na kofia ngapiFriends and Our Enemies...
Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'
Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.
Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.
Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.
Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.
Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.
Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.
Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.
Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.
Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.
Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
ujinga gani? Acha udiniKwahiyo unaukataa ukweli kwa sababu ninaekuambia ukweli huu ni muislam??
Basi bakia na ujinga wako
Unakaa kumsikiliza kitima mtu ambae hana hata uwezo wa kuhudumia familia anaishi kwa kulishwa na sadaka una akili kweli wewe??mkuu huyo ni la 7B Elimu ya hapa na pale madrasa ....anatoa wapi CV huyo lofa wa samuya
Kitima ni padreKunabjamaa hapa ameniuliza wewe pia unazunguza ukiwa na kofia ngapi
Duuu, bado una uisilamu wa kiazamani ile mbaya. Huo uisilamu wa kuona wakristu wanapendelewa ulikuwa wa zamani mno.
Hapana unamvunjia Heshima, kwa hapo unakosea huyu sio Kubwa Jinga ila Jinga KubwaHiyo avatar yako inadhihirisha ulivyo:Kubwa jinga!Hakuna siku nilikuwa disappointed kama siku ile Rey Mysterio alipomshinda
Uzuri credibility ya Catholism kwenye haki sio hapa Tanzania tu...Friends and Our Enemies...
Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'
Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.
Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.
Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.
Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.
Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.
Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.
Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.
Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.
Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.
Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Hata kuotesha miti kuzunguka makanisa yao ni kupendelewa? Waisilamu otesheni kwanza miti kuzunguka nyumba zenu za ibada, kisha muingie kwenye mengine makubwa.Ukristo kupendelewa ni jadi yao
Toka enzi za ukoloni walidumazwa na kujiona wao ni first class kumbe hawana lolote.
Kitima siyo Kanisa katoliki.Hata Papa akiharibu haliwezi kuwa limeharibu kanisa nzima.Soma uelewe kisha uje uzungumze
Kanisa ni miongoni mwa agents of colonialism Afrika wakiwa na gwanda la missionaries wakiwa sambamba na traders and explorers....
Kitu kisicho na haki hakidumu
hujajibu swari la mdau hapo juu prince john johnKitima ni padre
Kitima ni mwanachama wa chadema
Kitima ni mpigania haki za wanadamu
Sasa tumwele kwa lipi mwehu huyu?
Kanisa haliwezi kumpenda samia hata angeimba kwaya
Huyo mnaesema padre kitima ni mshirika mkubwa wa chadema na hata kwenye vikao alikuwa anaingia
Sasa leo ana justification gani ya kukosoa serikali ili hali yeye ni.malaya kwenye kuzungumza??
Mara leo anazungumza akiwa kwenye vyumba vya chadema na kesho utamkuta anazungumza akiwa amevaa gauni na wenzake
'THE BIG TRASH', kawaida yangu ni kuwa huwa sina muda na na takataka hizi ambazo wewe hujihusisha nazo; kwa sababu najuwa wewe ni nguruwe tu unayependa kuchezea kwenye tope na taka za aina hiyo.Hana akili ni mpumbavu mmoja hivi
Umeshindwa kulinda mkundv wako huo kwa wivu ,upo hapa kuandika use ng€ kwa posho ya buku mbili na kufirwa na ***** Abduli kila siku .Mbwa taka taka weweTutailinda nchi hii kwa wivu mkubwa against kila aina za ***** ***** zitazojitokeza.
Ndugu yangu sio kurithi tu hayo mahospitali ba vyuo vinaendeshwa na bajeti kutoka vatican. Naomba unitajia kanisa au taasisi nyingine yenye masgule, vyuo na mahositali hapa nchini ?Kanisa halikujenga most of hospitals kama unavyosema.
Kanisa lilirithi kutoka kwa mabwana zao wakoloni
Baada ya uhuru ndipo wakaendeleza
Peramiho,ndanda,nyangao na kadhalika ni mfano wa hospitals zimerithiwa kutoka.kwa wamisheni na hata hapo zamani zilikua zinaendeshwa na wao kwa madhumuni ya kuwatibu wazungu na baadhi ya waafrika ambao walikuwa ni wafanya kazi wao,haikuwa kwa.maslahi ya watu weusi kama unavyojigamba na kuwa proud.
Pili kusoma siyo kuzungumza lugha,lugha hata mtu ambae hana shule.anaweza jifunza lugha za kimataifa hata mia na kuendelea
Zinduka kutoka kwenye ujinga
Hapo kwenye uanachama wa chadema; tupe ushahidi.Kitima ni padre
Kitima ni mwanachama wa chadema
Kitima ni mpigania haki za wanadamu
Sasa tumwele kwa lipi mwehu huyu?