The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Acha ujinga kikongwe weweIngia mtaani ukatukane, siyo nyuma ya keyboard.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga kikongwe weweIngia mtaani ukatukane, siyo nyuma ya keyboard.
Kwa akili yako finyu unaona ni hatari kwa nchi kuwa na muelekeo sahihi wa nchi, unapenda tuishi bila katiba kama tunavyoishi sasa! Tanzania ni nchi ya hovyo tunayoishi kwa matamko ya viongozi badala ya katiba. Kwa hiyo vijana wakiamua kuwa kuanzia sasa tunataka katiba mpya na si matamko ya viongozi wewe na genge lako mnaona ni kuhatarisha amani ya nchi! Hauko sawa kichwani.View attachment 3068006View attachment 3068007
Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024
View attachment 3068017
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.