lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Nyie ndio wajinga mkipewa Nchi mnaendesha Kama Genge la nyanya. Kuwa Spokesperson Ni taaluma Kama ilivyo udaktari au Uhasibu na sio kupiga Lopolopo Kama unavyoongea.Issue ya Steve naona mnaipaisha bure tuu hivi kuwa msemaji ni tatizo kweli?? Haji Manara si ni msemaji? Yaani vikao vinakaa na kufanya maamuzi then msemaji anaujulisha umma yaliyoamuliwa au mimi ndiyo sijaelewa??
Halafu Nani kakwambia spokesperson wa YaNga Ni Manara! Bumbuli ndio spokesperson wa YaNga kwa sababu ni mwandishi wa habari by profession.
Halafu hicho cheo Cha manara Ni SPOKESPERSON & STRATEGIST ... Sasa kwa akili yako Huyo Steve anaweza kuwa STRATEGIST wa Taasisi yoyote Hapa Tanzania? Au huelew maana ya STRATEGIST?
Nchi hii raia wengi sampuli yako mnatembea Vichwa vimejaa utomvu